Jospina
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,421
- 1,395
JANA RAGE ALIKUWA AKIZINDUA MSIMU MPYA WA CLOUDS FM, NA ILIONEKANA DHAIRI ALIYOYASEMA JAY DEE ETI RUGE NI MNYONYAJI ILIONEKANA NI UWONGO BAADA YA WASANII LUKUKI KUMUUNGA MKONO RUGE KATIKA PROGRAME YAKE HUKU UMATI WA WATU UKIJAA UWANJANI NA KUDHIIRISHA CLOUDS FM NI REDIO YA WATU NA KELELE ZA JAY DEE HAZIJANYIKIWA. PICHANI NI BAADHI YA AWASANII MBALIMBALI WAKIIMBA mbele ya maelfu ya watu waliofika kwenye uwanja wa Jamuhuri jioni ya jana wakati wa kituo cha redio ya Clouds FM ilipokuwa ikizindua msimu wake mpya kwa wasikilizaji wake, uzinduzi huo ulikwenda sambamba na kufanyika kwa semina ya fursa kwa Watanzania.
Aidha msimu huo umekwenda sambamba na kaulimbiu inayofuatia harakati za MADE IN TANZANIA, ambapo msukumo wake ni kuwashawishi Watanzania kuanza kuzifanyia kazi fursa hizo kwa umoja wa maendeleo ,huku neno TWENZETU likitumika kama neno rasmi la mawasiliano.Kama vile haitoshi uzinduzi huo utabeba harakati rasmi za vita dhidi ya Uharamia wa kazi za wasanii,Wabunifu na wavumbuzi mbalimbali.
Leo Jumapili kutakuwepo na matembezi ya kampeni ya kupinga uharamia wa kazi za sanii yatakayoanzia uwanja wa Jamuhuri mapema asubuhi na kupokelewa na Waziri Mkuu Mh. Pinda.