Malyamungu princess bashite.
Uongo mkubwa huu, leta ushahidi mkuu kuwa diamond anahisa chache pale wasafi media usilete maneno ya mtumwa wa ngono mange kimambi.Tofautisha chombo cha habar na mtu binafsi.. diamond mwenyew hisa zake hazitoshi kupinga media isichukue hiyo habar na ukizingatia kila mtu anashauku ya kujua nn kinaendelea kaa kibiashara kwanza
Sent from my iPhone using JamiiForums
Uongo mkubwa huu, leta ushahidi mkuu kuwa diamond anahisa chache pale wasafi media usulete maneno ya mtumwa wa ngono mange kimambi.
.
Sizani kama unamjua vyema salam sk na babu tale wao ni zaidi ya ruge mutahaba kimitazamo na kiufanisi likija suala la muziki
Sijakuelewa mkuu,unamaanisha huyo zamaradi kaolewa na rommy jones ?Hakua na mke hivyo huwezi ita zama ni mke na kama kuolewa ,alishazaa na mwanamke ila huyo mwanamke akaolewa juzi juzi na rommy jones hivyo sijui wamuongelea mke yupi zama au huyo wa rommy?
Mwenye kauli ya mwisho wasafi media ni kusaga na si balozi diamondHivi sasa Wasafi tv wako live (mubashara) kwenye ukumbi wa karimjee kumuaga aliyekuwa mkurugenzi wa uzalishaji wa vipindi vya clouds.
.
Sasa wale ndugu zangu ambao mna chuki na diamond platnumz mliokuwa mkimsema kuwa hajaguswa na lolote semeni tena
Sijakuelewa mkuu,unamaanisha huyo zamaradi kaolewa na rommy jones ?
ebu nieleweshe vizuri mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani unaleta ujamaa kwenye dunia ya kibepari? Kwani hawakuingia mikataba na huyo Ruge na Daimond? Kama waliingia kwanini mnamwita mnyonyaji? Yaani akili ndogo za wasanii wenu ndo lawama kwa mtu aliyeweka pesa na muda wakeMie simsaidii msanii ila nanunua kazi zao na kulipia kiingilio maonyesho yao. Hivi unadhani mtu mwenye kipaji anasaidiwa au watu wanagawana nae mapato ya kipaji chake? jibu ilo kwanza
Bila yeye kivipi? Watu wakulipie studio time, promotion,na vitu vingine afu unaleta lugha za kuteleza,bila mimi wao wasingejulikana? Kwa lipi huyo si angewaombaa wazazi wake asa wamlipie hivyo vyote ili asilaumu watuLady Jaydee aliwaambia kama bila wao asingekua msanii mkubwa wawachukue dada zao waimbe nao wawe maarufu
Sent using Jamii Forums mobile app