๐๐๐๐numby una uteam balaa sikuwez..eti zari ana 50๐๐
hahahahahaYeye ndio alikuwa muuguzi au!? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata sijui kwanini nimekoment[emoji23][emoji23]
Sent using my nokia ya tochi
[emoji2][emoji2]kwani ana miaka mingapi nisije sema 23 nikadanganya
We jamaa ni kichaa hilo tangazo ukienda kuserch kwenye website ya TCRA utalikutaMambo za mange kimambi endelea kubaki nazo wewe unaeshikwa akili na mwanamke kuna mwenzako humu kanijuza diamond ana 25% sasa kabishane nayo huyo.
Saizi yake..Kumbe dina amepanga nilidhani nyumba yake duh,huyo ncha alinyakuliwa na kadada kengine,dina alijitahidi kumrudisha ikashindikana
Saizi yake..
Dina alimuendesha sana mke mkubwa wa ncha kali!
Mno...
Sent using Jamii Forums mobile app
zamani sana..ila shost ana nyodo.. ana zile za kukuangalia anakupandishq na kukushusha[emoji23][emoji23]nashangaa public hiv anaonekana mtu wa watu ila home kwake ananyodo jaman huyu dada...!ngoja nisiongee sana
zamani sana..ila shost ana nyodo.. ana zile za kukuangalia anakupandishq na kukushusha[emoji23][emoji23]nashangaa public hiv anaonekana mtu wa watu ila home kwake ananyodo jaman huyu dada...!ngoja nisiongee sana
Sema Dina anajielewa yule mdada!zamani sana sana..kama.3 au 4 yrs back....dina amepanga nyaishozi jirani kbs na kwetu..ana danga jingine.ncha hakanyagi pale
Nshomile yule ndo maana alitoswa na baba mtoto wake ilimuuma balaa
๐๐๐๐๐..ujana maji ya moto..kwamba zari ana 50๐๐๐hii battle nakuchia..siwezag uteam nahis hauna maana kbs..zari hana ht 40 bwana..sijui lakin๐๐๐
Kama hakuomba mwenyewe alivyokuwa hai ni bure tu..Kamfufue
Haaaahaaaa....ana uhaya yule ndo maana!zamani sana..ila shost ana nyodo.. ana zile za kukuangalia anakupandishq na kukushusha[emoji23][emoji23]nashangaa public hiv anaonekana mtu wa watu ila home kwake ananyodo jaman huyu dada...!ngoja nisiongee sana
Nshawahi skis mambo zake sehemu 1 hivi ana dharau vibaya mnooo!!!!yaani dina alivyo kwenye mtandao sivyo dina halisi alivyooo!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
yap..kapanga amepanga nyumba ya mke wa lissu..lakini nahis wameiuza kwa mtu mwingine sina hakika sana coz mie pale sio mkaaji sana..ila ni jirani kbs na sisi..tumeshea fence..ana madharau kama yote
๐ท๐ท๐ทAlimwambiaga dada wa kazi wake h
tht hapendi wageni...nlikua nabisha hodi watoto wamerusha mpira ukaing8a getini kwake..yaan unawaona hao hapo wapo nje..dada akaja akasema dada amesema hatak wagenii๐๐๐๐...nikamwambia dogo kuwa makini๐๐leta huo mpira fast..!waliniudhi...since then mie sijawah barikiwa kbs naye..sisy angu anajibamizaga kwakwe na ishu za maua unaona kbs huyu namkera ht kumsalimu๐๐๐.am not her fan anymore!
Ila ncha kali mkaka mzuri yule, yy na Dina mmh!...mbalimbaliNshomile yule ndo maana alitoswa na baba mtoto wake ilimuuma balaa
Haaaahaaaa....ana uhaya yule ndo maana!
Sasa anaringa nini na huo mwili[emoji44][emoji44][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app