Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

Jide anakimbilia menopause, mbona kina mbilia bell na tshala mwana wamo tu mama usikamate mchawi kwenye industry ya muziki hapa nchini kuwa mbunifu shauri yako...kama vipi ingia jikoni upike tu pale nyumbani lounge au pika chai ya viungo tuje tunywe jioni. Ukisema msiba wako redio isitangaze wala TV isionyeshe kwani kila anayekufa anatangazwa redioni? Piga mzigo mama muziki ushindani utakuwa kituko soon.

Sent from Samsung tablet
 
Ninachokiona mimi toka kwa Ruge ni kwamba kwanini aende kuongelea Shutuma zake kwenye Radio yake ya Clouds tena kwenye kipindi cha Power Breakfast na sio kwenye Ukumbi wa Habari Maelezo?
1.Anaogopa maswali ya waandishi wa habari?
2.Anajua jamii itafahamu uhalisia wa malalamiko dhidi yake?
3.Anaogopa nini?

Judith alitoa Shutuma Ukumbi gani?
 
Kuna wakati vitu vingine vinashangaza kidogo, sasa kama hawa Wasanii wanashindwa ku survive nyumbani wakienda Japan kama Fresh Jumbe au Sweden kama Dekule Vumbi watayamudu maisha?

Kuna wakati Ray C alikuwa anafanyia kazi zake Kenya sasa kule napo kuna Ruge na Clouds? hivi Msondo ngoma kweli wanabebwa na Clouds?

Ukiangalia kwa undani sana utakuta kuna waliopata pesa nyingi kuliko hata walivyostahili zikawalevya sasa salio linashuka wanaona ilikuwa ni haki yao.

Hawa hawajuhi mpaka leo tunawapa nauli ya Daladala Wanamuziki wa Sikinde na Msondo kwenda kwenye Show maana wamepigika.

Kuna issue ya Fiesta JD kilipwa laki nane, sijui kama walikubaliana au lah, lakini mimi mwaka juzi tu niliwachukuwa Twanga bendi nzima na wacheza show siku ya Jumatano kwa laki saba tu.

Last but list, mimi si bendera fuata upepo huwa na base kwenye fact tu.

Matola unaitwa pedeshee Matola?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenifurahisha ulivyomzungumzia Mr. Nice,ni kweli jamaa pamoja na kufulia kwote hutamuona hata siku moja analialia(kuanza kumtafuta mchawi),ye analia na nafsi yake na anatambua moyoni mwake kwann alifeli.Ila wasanii wengine hawatak kukubali mabadiliko pind inapotokea mambo yanaenda ndivyosivyo,wanabakia kupaniq na kuanza kumtafuta mchawi wake,mara ooh msanii fulan ananiroga,mara ooh Clouds wanatubania.Yaan wasanii sahv ni kama wamekariri kwmb wakifel kimzid lawama ni kwa clouds
 
Swali gumu sana hili, kwa nyongeza tu JD aliulizwa maswali na waandishi wepi?

Hivi Matola umekula nini wewe leo?

Sijawahi kukuona ukitema common sense kama leo aisee.

Chochote ulichokula endelea kukila hata kama iwe senene.
 
Last edited by a moderator:
Hivi Matola umekula nini wewe leo?

Sijawahi kukuona ukitema common sense kama leo aisee.

Chochote ulichokula endelea kukila hata kama iwe senene.
Ni supu ya maharage na chapati.....

Dinner itakuwa ugali wa dona na ng'onda aliyekolezwa nazi na matembele kidogo.
 
Matola unaitwa pedeshee Matola?
Hapana mkuu wangu.....

Ujanja wa mjini tu, niliamuwa kuwachangamsha wakazi wa eneo langu, ila pesa ilirudi na faida nzuri tu, ugumu wa show za band ni biashara inayohitaji PA ya nguvu, am not interested.
 
Ninachokiona mimi toka kwa Ruge ni kwamba kwanini aende kuongelea Shutuma zake kwenye Radio yake ya Clouds tena kwenye kipindi cha Power Breakfast na sio kwenye Ukumbi wa Habari Maelezo?
1.Anaogopa maswali ya waandishi wa habari?
2.Anajua jamii itafahamu uhalisia wa malalamiko dhidi yake?
3.Anaogopa nini?

Mjomba kuna Maswali huku.... JD alitoa shutuma Ukumbi gani na Alikuwa na Waandishi wepi? Uje ujibu AU ulikurupuka?
 
Judith alitoa Shutuma Ukumbi gani?

kwenye pages zake ambako yeyote mwenye maswali anaweza akaulza na mwenye maoni kuyatoa.... Na mme wake alishahojiwa juu ya hilo na kujibu
 
Nyani Ngabu Gang Chomba Putin Mimi nimeamuwa kufiri very deep na kugunduwa Ruge asilaumiwe kwa vitu ambavyo wao wenyewe wanauwezo wa kuvifanya tena kuliko huyo Ruge.

Ona hapa, facebook fans page ya JD ana followers wanaozidi 50,000 je akiwatumia hawa tu achana na fans wasiokuwa wa mitandaoni hawezi kuuza kazi zake na akapata pesa nzuri nz show zake zikawa na mahudhilio mazuri!?

[h=2]Lady Jaydee51,528 likes · 5,873 talking about this

Badala yake JD sasa anaitumia page yake kama kijiwe cha mipasho na siyo kuhamasisha fans wamuunge mkono na kuuza kazi zake online.

Ona hapa chini huyu ndio JD.

[h=5]Lady Jaydee[/h]3 hours ago

Kama mtakumbuka niliahidi kutoa awamu ya pili tar 15 au 17 May na ahadi ni deni..Japo naona mbali ila Nitafanya hivyo, bado nina mengi sana ya kuzungumza kuhusu Ruge na wenzake...Ile ilikuwa ni trailer tu, Movie ndio linaanza sasa #TeamAnaconda no surrender






[/h]
 
Last edited by a moderator:
kwenye pages zake ambako yeyote mwenye maswali anaweza akaulza na mwenye maoni kuyatoa.... Na mme wake alishahojiwa juu ya hilo na kujibu
Unaleta utoto mbele ya watu wazima, ujuwe unaongea na watu ambao tulishahitimu masomo kabla Mungai hajakabidhiwa Wizara ya Elimu kuuwa Elimu ya Tanzania. ili waanzishe shule zao za Private pls behave.
 
....
Nje ya muziki Luge na Clouds wanafanya poa,mfano kuna watu wengi sana uwa wanapewa msaada kuanzia chakula,mahala pa kulala paka wanapopata msaada kamili toka kwa wadau wengine, kuna watu wapo shule,watu wametibiwa magonjwa yao kwa kupitia Clouds haya jamaa wapo poa sana ....

Hiyo ni "cover up" ya uozo
 
Yaani Jide bana kachemka kweli. Ruge kaongea yyote. Akasema ziko radio station zaidi 100,azitumie hata hizo.Na Ruge kasema hakuwahi kuona mantiki ya kujibizana msg na Jide ingawa Jide alikuwa akimtumia sana sms,yeye anampigia. Amekuwa akimuuliza tatizo lililopo ili walimalize,Jide anapotezea. Kwa Cluods kama taasisi inayojitegemea kujiendesha Kwa Kutegemea matangazo,akaona atoe ufafanuzi wa machache aliyoelewa vinginevyo amempa nafasi ya kujirudi ili walimalize. Namwonea huruma Jide,aidha hana ushauri au hajui ti tu kwamba approach anayoitumia inatarnish legacy yake
 
kwenye pages zake ambako yeyote mwenye maswali anaweza akaulza na mwenye maoni kuyatoa.... Na mme wake alishahojiwa juu ya hilo na kujibu

Mbona unajibu kitoto Ivyo? Wewe nawe ni Great thinker umejisajili humu?
 
Back
Top Bottom