Kweli Clouds inakimbiza!
Nyani Ngabu nakusalimu
Ahlaan wa sahlaan....natumai wewe na vyako mko poa.
Ninachokiona mimi toka kwa Ruge ni kwamba kwanini aende kuongelea Shutuma zake kwenye Radio yake ya Clouds tena kwenye kipindi cha Power Breakfast na sio kwenye Ukumbi wa Habari Maelezo?
1.Anaogopa maswali ya waandishi wa habari?
2.Anajua jamii itafahamu uhalisia wa malalamiko dhidi yake?
3.Anaogopa nini?
Swali gumu sana hili, kwa nyongeza tu JD aliulizwa maswali na waandishi wepi?Judith alitoa Shutuma Ukumbi gani?
Kuna wakati vitu vingine vinashangaza kidogo, sasa kama hawa Wasanii wanashindwa ku survive nyumbani wakienda Japan kama Fresh Jumbe au Sweden kama Dekule Vumbi watayamudu maisha?
Kuna wakati Ray C alikuwa anafanyia kazi zake Kenya sasa kule napo kuna Ruge na Clouds? hivi Msondo ngoma kweli wanabebwa na Clouds?
Ukiangalia kwa undani sana utakuta kuna waliopata pesa nyingi kuliko hata walivyostahili zikawalevya sasa salio linashuka wanaona ilikuwa ni haki yao.
Hawa hawajuhi mpaka leo tunawapa nauli ya Daladala Wanamuziki wa Sikinde na Msondo kwenda kwenye Show maana wamepigika.
Kuna issue ya Fiesta JD kilipwa laki nane, sijui kama walikubaliana au lah, lakini mimi mwaka juzi tu niliwachukuwa Twanga bendi nzima na wacheza show siku ya Jumatano kwa laki saba tu.
Last but list, mimi si bendera fuata upepo huwa na base kwenye fact tu.
Mkuu umenifurahisha ulivyomzungumzia Mr. Nice,ni kweli jamaa pamoja na kufulia kwote hutamuona hata siku moja analialia(kuanza kumtafuta mchawi),ye analia na nafsi yake na anatambua moyoni mwake kwann alifeli.Ila wasanii wengine hawatak kukubali mabadiliko pind inapotokea mambo yanaenda ndivyosivyo,wanabakia kupaniq na kuanza kumtafuta mchawi wake,mara ooh msanii fulan ananiroga,mara ooh Clouds wanatubania.Yaan wasanii sahv ni kama wamekariri kwmb wakifel kimzid lawama ni kwa clouds
Swali gumu sana hili, kwa nyongeza tu JD aliulizwa maswali na waandishi wepi?
Unasema?........
Ni supu ya maharage na chapati.....Hivi Matola umekula nini wewe leo?
Sijawahi kukuona ukitema common sense kama leo aisee.
Chochote ulichokula endelea kukila hata kama iwe senene.
Hapana mkuu wangu.....Matola unaitwa pedeshee Matola?
Ninachokiona mimi toka kwa Ruge ni kwamba kwanini aende kuongelea Shutuma zake kwenye Radio yake ya Clouds tena kwenye kipindi cha Power Breakfast na sio kwenye Ukumbi wa Habari Maelezo?
1.Anaogopa maswali ya waandishi wa habari?
2.Anajua jamii itafahamu uhalisia wa malalamiko dhidi yake?
3.Anaogopa nini?
Judith alitoa Shutuma Ukumbi gani?
Unaleta utoto mbele ya watu wazima, ujuwe unaongea na watu ambao tulishahitimu masomo kabla Mungai hajakabidhiwa Wizara ya Elimu kuuwa Elimu ya Tanzania. ili waanzishe shule zao za Private pls behave.kwenye pages zake ambako yeyote mwenye maswali anaweza akaulza na mwenye maoni kuyatoa.... Na mme wake alishahojiwa juu ya hilo na kujibu
....
Nje ya muziki Luge na Clouds wanafanya poa,mfano kuna watu wengi sana uwa wanapewa msaada kuanzia chakula,mahala pa kulala paka wanapopata msaada kamili toka kwa wadau wengine, kuna watu wapo shule,watu wametibiwa magonjwa yao kwa kupitia Clouds haya jamaa wapo poa sana ....
kwenye pages zake ambako yeyote mwenye maswali anaweza akaulza na mwenye maoni kuyatoa.... Na mme wake alishahojiwa juu ya hilo na kujibu