Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

Wakat yakiendelea hayo Ruge alikua safari, Hando anachomeka kijembe eti "si na Gadna alikua hapahapa?"
mazungumzo yanaendelea
 
Issue ni matangazo ya laki 2 na 40, nyimbo kubaniwa
 
Anasema Jide alimtukana ndiyo maana walizuia kupiga nyimbo zake, katoa mfano nyimbo za rayc zilikua hazipigwi eatv, nyimbo za diamond zilizuiliwa magic fm, etc etc
 
Mwanzo wa tatizo anadai aliona post kwenye mitandao akampigia na Jide ndo akaanza kumwambia kwanini amelipia matangazo yake na hayachezwi? Na wanataka kuiua bendi yake uku wakiendelea kuipromote skylight bendi? Ruge anadai alikua mbali na akamuaidi kumtafuta bt hakumtafuta tena na ndipo maneno yalipozidi kitu kilichopelekea na wao clouds kutopiga nyimbo zake.
 
Kumbe Diamond ana miezi 7 nyimbo zake hazijapigwa, Ray C mwaka
 
Anatamba eti hata jide akikataa nyimbo zake zisipigwe clouds fm wala haimtish maana wapo wengi wanataka nyimao zao zipigwe.
 
Tatizo ni mijadala ya kimaslahi kwa vijana anasemaje wasanii wote walalamikie kitu kimoja tuu kwake mpaka Sugu azungumziaje?
 
Na pamoja na kwamba wanaambiwa wanaipromote skylight bend na kuambiwa ni yao Ruge anasema hiyo bend ni ya Sebastian Ndege. Tatizo anasema Jide anaogopa ushindani ambapo ni kitu cha kawaida.
 
Anaunganisha fursa na ushindani sasa.
 
Jamani hivi Tanzania hatuna uwezo wa kujieleza namna hii? Yaani Ruge tangu ameanza kuongea sijaona jibu la msingi mpaka sasa zaidi ya personal attack
 
jamaa anajitahid kujitetea kinachotakiwa hapa ruge na jide wapewe mdahalo wa fac2fac
 
Ruge anaelezea jinsi walivyomtoa jide...enzi zileeeeeeeeeee ana rup
1999.....inahusu nn sasa...
 
Anaelezea jinsi alivyoanza kumfaham jd miaka ya 2000, alimsikia akirap akaongea na Taji Liundi kuhusu jd, akaweza kuonana nae kisha akamtengenezea albam ya machozi
 
Jd ki historia alitolewa na ruge kwa kuanza na kazi ya utangazaji na baadae kwenye kuimba uku ruge akimsimamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…