Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

Ruge mutahaba ajibu mashambulizi dhidi ya tuhuma za lady jaydee

Anasema kila wiki ana-sponsor wasanii kupiga muziki club
 
Anadai jd amekwisha kimziki na ni lazima akubali kuachia game, anatumia neno kupokezana kijiti na anasema wakati umefika kwa jd kukabidhi kijiti kwa mwingine.

mbele kidogo anasema bado anaamini JIDE BADO ANA KIPAJI
 
Lina na Barnaba walizuiwa kwenda kwa jd, Ruge kakanusha
 
Mwisho kasema,
Jd akaze buti, anapigana the wrong war, skylight inamsumbua jd.
Vita yake jd, na bunduki zake azielekeze skylight.
 
Jide akaze buti...akubaliane na ukweli kuwa skylyt band imefikishia nyumbani lounge kushuka....mmnh ??kifupi wanasema a accept..amefulia
 
Anasema wanaambiwa wanawanyonya wasanii wakati wao wanatamasha moja tu kwa mwaka ambayo ni fiesta tu

Msimamo wake Jd akaze buti na ajipange cse kilicho mshusha ni skylight bend. Aache kushambulia watu kwenye mitandao
 
hamna jipya. jamaa ni kaburu tu. kwa ufupi limemchoma ndo maana analopoka. mia
 
Anamalizia kwa kusema kua maneno ya kwenye mitandao yashughulikiwe haraka sana na vyombo vya usalama.
Analaumu kwa nini jide hajakamatwa kwa kuandika matusi kwenye mtandao.
 
Kuusu lina na barnaba wao wapo kwenye management nyingine na alipokwenda kuulizia ameambiwa kua Jd ameshindwana nao bei na Jd alikubali kushindwa
 
Bado anamalizia kua cloud inapigana wasiyumbe, ni redio binafsi, tcra hawawezi kuwapangia kitu, kwa mfano kasema leo hakuna kupiga bongo fleva.
 
eti kama bosi leo hataki kusikia bongo fleva kwenye radio. kuna siku wanapiga miziki ya wanawake siku nzima. hahahaaa...!!!. mia
 
anasema skylite band inamsumbua Jide.... hiyo band ni ya Sebastian Ndege ambaye ni mshikaji wao kama ilivyo Gardner na Jide....Jide anatakiwa sio kutukana bali apeleke mashambulizi kwenye ushindani.... duh!
 
Ametumia Radio yao kumshambulia Lady JD kumshambulia bila kujibu hoja! these to me is non sense!
 
Back
Top Bottom