Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Hahaaaa ngoma inogile
yaani hapa hakuna suluhu,anasema hawawanyonyi wasanii,nataka niskie WANAWALIPA SH NGAP KWENYE FIESTA????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa ngoma inogile
Anadai jd amekwisha kimziki na ni lazima akubali kuachia game, anatumia neno kupokezana kijiti na anasema wakati umefika kwa jd kukabidhi kijiti kwa mwingine.