Mmnh..ringtone pay ya diamond mil.21????tz hii hii?
Anasema yeye ndo aliwaibua wasanii wengi akiwemo Rayc, Mwanahela, Mr. Poo, Stara Thomas, etc etc
Mmnh..ringtone pay ya diamond mil.21????tz hii hii?
Anaelezea jinsi alivyoanza kumfaham jd miaka ya 2000, alimsikia akirap akaongea na Taji Liundi kuhusu jd, akaweza kuonana nae kisha akamtengenezea albam ya machozi
na jide anasema KIPAJ HAKIBEBW,KAMA WALIMBEBA BASI WANGEWABEBA DADA ZAOOOO
Mmnh..ringtone pay ya diamond mil.21????tz hii hii?
Kuacha kazi ya utangazaji ni kutokana na maelewano yao kwamba aliambiwa achague ndipo alipo chagua muziki kama kazi.
Ruge ana muusia Jd kama anadhani kuna tatizo kati yao basi wazungumze na kama hawezi kwenda yeye mwenyewe basi atume mtu na pia awe na hoja kamili ili wayamalize