Mkare_wenu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2011
- 1,714
- 448
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ni 'muhuni wa mjini' kweli ndo maana ile biashara kaimudu kwa mda mrefu na kwa mafanikio pamoja na challenges kibao anazokumbana nazo
hata sijui nani kaimba. nikajua rose muhando. mwenzio nasikiliza kaswida. mia
Kama ni muhuni basi sio mtu wa kuaminika mkuu,...wahuni mara zote hawana muelekeo wa msimamo.
Hahaaa fundi mitambo sikujua kua wewe ndo ulikua unawezesha mawasiliano, asante sana.
pa1 mkuu!!
Yah,ila uhuni wake ni wa kisomi,ni ngumu sana kumshitaki.Kama alivyosema ile ni biashara bwana,hata ukimlipa msanii sh 10 ilimrad mmekubaliana haina tatizo
lakin ni kwanin lawama clouds????mnamkumbuka SUGU?SOLO?
HUWA WANATIBUANA THEN WANATAKA SULUHU
May b ..... I f nt na mlengwa kama anajiona ana uwezo basi ajipange upyaaa.Muda wa kupokeza kijiti kwa mwingine umefika....:A S clock::A S clock::A S clock::A S clock::A S clock:
Anasema wanaambiwa wanawanyonya wasanii wakati wao wanatamasha moja tu kwa mwaka ambayo ni fiesta tu
Msimamo wake Jd akaze buti na ajipange cse kilicho mshusha ni skylight bend. Aache kushambulia watu kwenye mitandao
Kwani bendi ipo Skylight bend peke yake? Ruge aache kutuaminisha upumbavu, kwa nini sio Top band au nyinginezo? Akubali kuwa hapendi maendeleo ya Jide
Jamani hivi Tanzania hatuna uwezo wa kujieleza namna hii? Yaani Ruge tangu ameanza kuongea sijaona jibu la msingi mpaka sasa zaidi ya personal attack
Hivi Ruge, Ruge , Ruge ndo nini jamani hapo mmeniacha kabxa,,
Kipindi kinaisha song la Hakuna Mungu kama wewe! Baada ya Ruge kusema leo siku zima hamna kupiga Bongo fleva na kusisitiza sana coz ni radio binafs hakuna anayewapangia maamuzi!!