MANILABHONA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 462
- 350
Mimi ni mpenzi wa muda mrefu wa vipindi mbalimbali vya CMG. Kabla ya kuondoka kwa Ruge ninafahamu uzuri na ubora wa vipindi CMG ulikuaje na sasa hali ikoje. Kiukweli CMG IMEDORORA!
Haina tena vile vipindi vya amshaamsha ambavyo wapenzi wengi walipenda, mfano asubuhi unapoenda kazini ilikua lazima ufungulie redio ya gari kusikiliza.
Hata ofisini ilikuwa lazima uwashe televisheni uangalie angalau CLOUDS 360. Siku hizi nafikiri watakua wamebaki wachache sana wanao fanya hivyo.
Jitahidini mumtafute mtaalamu mwingine kama Ruge, vinginevyo hali si hali. Anayekueleza ukweli anakupenda!
Tafakari