Ruge Mutahaba atakumbukwa daima Clouds Media Group

Ruge Mutahaba atakumbukwa daima Clouds Media Group

MANILABHONA

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
462
Reaction score
350
Mimi ni mpenzi wa muda mrefu wa vipindi mbalimbali vya CMG. Kabla ya kuondoka kwa Ruge ninafahamu uzuri na ubora wa vipindi CMG ulikuaje na sasa hali ikoje. Kiukweli CMG IMEDORORA!

Haina tena vile vipindi vya amshaamsha ambavyo wapenzi wengi walipenda, mfano asubuhi unapoenda kazini ilikua lazima ufungulie redio ya gari kusikiliza.

Hata ofisini ilikuwa lazima uwashe televisheni uangalie angalau CLOUDS 360. Siku hizi nafikiri watakua wamebaki wachache sana wanao fanya hivyo.

Jitahidini mumtafute mtaalamu mwingine kama Ruge, vinginevyo hali si hali. Anayekueleza ukweli anakupenda!

Tafakari
 
Kuna timu iko vizuri kwa utendaji, kazi inaendelea.
 
Unanikumbusha mbali sana na radio Fulani hivi ikiwa na watangazaji hawa Rabeka Molesi, Deokaji Makomba, Jumaa Ahmed Baragaza, Zuber mtoto wa Msabaa, Baruani Mhuza, na wengine kibao alafu kibwagizo Chao the sound of Africa.
 
Kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho. Ni rahisi zaidi kuwa number moja kuliko kubakia kileleni
Haaaa kubaki kilele shida sana mzeeupo usinisahau kwenye sala zako mm bado nachehemea.
 
Mimi ni mpenzi wa muda mrefu wa vipindi mbalimbali vya CMG. Kabla ya kuondoka kwa Ruge ninafahamu uzuri na ubora wa vipindi CMG ulikuaje na sasa hali ikoje. Kiukweli CMG IMEDORORA! Haina tena vile vipindi vya amshaamsha ambavyo wapenzi wengi walipenda, mfano asubuhi unapoenda kazini ilikua lazima ufungulie redio ya gari kusikiliza. Hata ofisini ilikuwa lazima uwashe televisheni uangalie angalau CLOUDS 360. Siku hizi nafikiri watakua wamebaki wachache sana wanao fanya hivyo. Jitahidini mumtafute mtaalamu mwingine kama Ruge, vinginevyo hali si hali. Anayekueleza ukweli anakupenda! Tafakari
Kesho utatuambia Tanzania imeondoka na Magufuli.

Sisi tunawaangalia tu
 
Unanikumbusha mbali sana na radio Fulani hivi ikiwa na watangazaji hawa Rabeka Molesi, Deokaji Makomba,Jumaa Ahmed Baragaza, Zuber mtoto wa Msabaa,Baruani Mhuza, na wengine kibao alafu kibwagizo Chao the sound of africa
Kumbe hadi Barwan Muhuza alikuwa RFA duh!

Fred Waa
Rahabu Fungo (Fred)
Elia Migongo

Vipindi nilikuwa napenda ni
Search line (kale kabiti)

Indian flavor (sijui kiliitwaje)

Wikiendi (mziki mwanzo mwisho kuanzia Ijumaa hadi Jumapili)

Mambo mambo

Bangua bongo (ndani ya mambomambo)

Uliza ujibiwe

Je wajua?
Nk
 
Saivi historia tu mkuu vipindi havina tena mvuto ule...
Wanazingua halafu wamehamahama aisee maana wengi nilikuwa nawajua kwa sauti tu sasa sikuhizi sauti hizo nazisikia kwingine na wengine nawaona kabisa chaneli nyingine kabisa

Ila bwana Radio Free walikuwa wazuri usipime... kwenye matangazo yao utakuta matangazo mazuri balaa
 
Hata angekuwepo huyo RUGE still anguko lingekuwepo.

Hata angekuwepo KANUMBA bongo Movie ingeanguka na angekuwa wakawaida tu.
 
Unanikumbusha mbali sana na radio Fulani hivi ikiwa na watangazaji hawa Rabeka Molesi, Deokaji Makomba, Jumaa Ahmed Baragaza, Zuber mtoto wa Msabaa, Baruani Mhuza, na wengine kibao alafu kibwagizo Chao the sound of Africa.
Kuna yule aliyefariki alikuwa anatafsiri nyimbo za kikongo anaitwa nani?
Pia walikuwa na redio yao nyingine zuri sana ...KISS FM walikuwepo kina Ambakise
 
Ninakuomba Mwenye RFA warudishe wale watangazaji wetu

Ukiona kitu kinakubalika uchaggani sio mchezo

Redio one sisi kwetu uchaggani kwa ajili ya matangazo ya vifo tuu

RFA na Kiss Fm zirudi tena

Atakama unataka Harambee ya buku buku sisi Watanzania Tutacahangia ili ufanikiwe nakuomba sana
 
Unanikumbusha mbali sana na radio Fulani hivi ikiwa na watangazaji hawa Rabeka Molesi, Deokaji Makomba, Jumaa Ahmed Baragaza, Zuber mtoto wa Msabaa, Baruani Mhuza, na wengine kibao alafu kibwagizo Chao the sound of Africa.
Greates team all the time
 
Unanikumbusha mbali sana na radio Fulani hivi ikiwa na watangazaji hawa Rabeka Molesi, Deokaji Makomba, Jumaa Ahmed Baragaza, Zuber mtoto wa Msabaa, Baruani Mhuza, na wengine kibao alafu kibwagizo Chao the sound of Africa.
Deo kaji makomba kwenye kipind cha michezo... Reporters wakiwemo Steven moi mwamchungi na Angelo Moleka radio free Africa Arusha. Walikua wanasound poa sana

Sent from my vivo 1820 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom