MANILABHONA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 462
- 350
Haaaa kubaki kilele shida sana mzeeupo usinisahau kwenye sala zako mm bado nachehemea.Kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho. Ni rahisi zaidi kuwa number moja kuliko kubakia kileleni
Kesho utatuambia Tanzania imeondoka na Magufuli.Mimi ni mpenzi wa muda mrefu wa vipindi mbalimbali vya CMG. Kabla ya kuondoka kwa Ruge ninafahamu uzuri na ubora wa vipindi CMG ulikuaje na sasa hali ikoje. Kiukweli CMG IMEDORORA! Haina tena vile vipindi vya amshaamsha ambavyo wapenzi wengi walipenda, mfano asubuhi unapoenda kazini ilikua lazima ufungulie redio ya gari kusikiliza. Hata ofisini ilikuwa lazima uwashe televisheni uangalie angalau CLOUDS 360. Siku hizi nafikiri watakua wamebaki wachache sana wanao fanya hivyo. Jitahidini mumtafute mtaalamu mwingine kama Ruge, vinginevyo hali si hali. Anayekueleza ukweli anakupenda! Tafakari
Enzi hizo hatar sana hapo ulikua unawahi kuamka asubuhi usikilize kipindi cha matukio.Unanikumbusha mbali sana na radio Fulani hivi ikiwa na watangazaji hawa Rabeka Molesi, Deokaji Makomba,Jumaa Ahmed Baragaza, Zuber mtoto wa Msabaa,Baruani Mhuza, na wengine kibao alafu kibwagizo Chao the sound of africa.
Ni hatari sana mkuu acha kabisa alafu kipindi cha ULIZA UJIBIWEEnzi hizo hatar sana hapo ulikua unawahi kuamka asubuhi usikilize kipindi cha matukio.
Saivi historia tu mkuu vipindi havina tena mvuto ule.Ni hatari sana mkuu acha kabisa alafu kipindi cha ULIZA UJIBIWE
Kumbe hadi Barwan Muhuza alikuwa RFA duh!Unanikumbusha mbali sana na radio Fulani hivi ikiwa na watangazaji hawa Rabeka Molesi, Deokaji Makomba,Jumaa Ahmed Baragaza, Zuber mtoto wa Msabaa,Baruani Mhuza, na wengine kibao alafu kibwagizo Chao the sound of africa
Wanazingua halafu wamehamahama aisee maana wengi nilikuwa nawajua kwa sauti tu sasa sikuhizi sauti hizo nazisikia kwingine na wengine nawaona kabisa chaneli nyingine kabisaSaivi historia tu mkuu vipindi havina tena mvuto ule...
Ilikuwa the best team hiUnanikumbusha mbali sana na radio Fulani hivi ikiwa na watangazaji hawa Rabeka Molesi, Deokaji Makomba,Jumaa Ahmed Baragaza, Zuber mtoto wa Msabaa,Baruani Mhuza, na wengine kibao alafu kibwagizo Chao the sound of africa
Au upate Sindano tano za Moto na FredWa. Ilikua balaa sana RFAEnzi hizo hatar sana hapo ulikua unawahi kuamka asubuhi usikilize kipindi cha matukio....
Kuna yule aliyefariki alikuwa anatafsiri nyimbo za kikongo anaitwa nani?Unanikumbusha mbali sana na radio Fulani hivi ikiwa na watangazaji hawa Rabeka Molesi, Deokaji Makomba, Jumaa Ahmed Baragaza, Zuber mtoto wa Msabaa, Baruani Mhuza, na wengine kibao alafu kibwagizo Chao the sound of Africa.
Greates team all the timeUnanikumbusha mbali sana na radio Fulani hivi ikiwa na watangazaji hawa Rabeka Molesi, Deokaji Makomba, Jumaa Ahmed Baragaza, Zuber mtoto wa Msabaa, Baruani Mhuza, na wengine kibao alafu kibwagizo Chao the sound of Africa.
Zuberi Mtoto wa Msabaa or Volt laki 6Kuna yule aliyefariki alikuwa anatafsiri nyimbo za kikongo anaitwa nani?
Pia walikuwa na redio yao nyingine zuri sana ...KISS FM walikuwepo kina Ambakise
Deo kaji makomba kwenye kipind cha michezo... Reporters wakiwemo Steven moi mwamchungi na Angelo Moleka radio free Africa Arusha. Walikua wanasound poa sanaUnanikumbusha mbali sana na radio Fulani hivi ikiwa na watangazaji hawa Rabeka Molesi, Deokaji Makomba, Jumaa Ahmed Baragaza, Zuber mtoto wa Msabaa, Baruani Mhuza, na wengine kibao alafu kibwagizo Chao the sound of Africa.