Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Ruge ni binadamu anayependa sana ligi wakati huohuo hawezi ligi na hajawahi kushinda ligi hata moja toka aanze kupambana. Amekuwa ni mtu mwonevu sana kwa wasanii wachanga na wadogo lakini anapofika kwa manguri hukwama vibaya sana na watu wote ambao ashawahi kuingia nao kwenye ligi kwa sasa ni matajiri hatari wa kutupwa
Alianza kwa joseph haule akakwama leo joseph ni mbunge
Akaja kwa sugu akakwama vile vile leo hii sugu ni mbunge na anamilik hotel
Akaja kwa komando jide akakwama vibaya sana hadi akaomba poo mwenyewe licha ya jide kutaa kusuluhishwa lakini baadae uongozi wake uliluhusu nyimbo za komando machozi kupigwa kwenye redio
Kwa dudu baya napo pia ulikwama
vita uliyopigwa vibaya sana ni ile ya Erick Shigongo leo hii mwenzako ni bilionea wa kutisha wewe bado unaendelea kulamba miguu ya kusaga kwa kusubiri ujira ili ulipwe kwa mwezi
Majizo naye anaelekea kukupiku mishen town akakunyanganya demu ukabaki unalia kama mtoto ambaye kanyimwa mandazi au pipi mafua
Kwa sasa napo upo kwenye vita na kolomije boy na tayari ushaanza kuomba poo na kusalimu amri acha kutafuta huruma ya rais na wananchi pambana mwenyewe usituingize sisi kwenye vita yenu ambayo hata haituhusu
Zamani ulozoea kwa mshikaji wako jk ulikuwa ukiguswa tu kidogo unapiga simu ikulu leo yupo ngosha zama zimebadilika mkuu.
Vita ambayo ushawahi kushinda ni ile ya mwana dada ruby
Nanyupu
LONDON BABY