Ruge Mutahaba huwezi vita mara zote huambulia patupu

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Ruge ni binadamu anayependa sana ligi wakati huohuo hawezi ligi na hajawahi kushinda ligi hata moja toka aanze kupambana. Amekuwa ni mtu mwonevu sana kwa wasanii wachanga na wadogo lakini anapofika kwa manguri hukwama vibaya sana na watu wote ambao ashawahi kuingia nao kwenye ligi kwa sasa ni matajiri hatari wa kutupwa

Alianza kwa joseph haule akakwama leo joseph ni mbunge
Akaja kwa sugu akakwama vile vile leo hii sugu ni mbunge na anamilik hotel
Akaja kwa komando jide akakwama vibaya sana hadi akaomba poo mwenyewe licha ya jide kutaa kusuluhishwa lakini baadae uongozi wake uliluhusu nyimbo za komando machozi kupigwa kwenye redio

Kwa dudu baya napo pia ulikwama
vita uliyopigwa vibaya sana ni ile ya Erick Shigongo leo hii mwenzako ni bilionea wa kutisha wewe bado unaendelea kulamba miguu ya kusaga kwa kusubiri ujira ili ulipwe kwa mwezi

Majizo naye anaelekea kukupiku mishen town akakunyanganya demu ukabaki unalia kama mtoto ambaye kanyimwa mandazi au pipi mafua

Kwa sasa napo upo kwenye vita na kolomije boy na tayari ushaanza kuomba poo na kusalimu amri acha kutafuta huruma ya rais na wananchi pambana mwenyewe usituingize sisi kwenye vita yenu ambayo hata haituhusu

Zamani ulozoea kwa mshikaji wako jk ulikuwa ukiguswa tu kidogo unapiga simu ikulu leo yupo ngosha zama zimebadilika mkuu.

Vita ambayo ushawahi kushinda ni ile ya mwana dada ruby

Nanyupu

LONDON BABY
 
hoja zingine zinachekesha unatumia vipimo gani kujua mtu anazo pesa au ana?
 
Hiyo vita na Shigongo naomba unidadavulie. Anyway, Lady Jaydee bado yupo? Mara ya mwisho kumsikia mwaka jana na wimbo wake NDINDINDI
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Ruge ni binadam anayependa sana ligi wakati huohuo hawez ligi na hajawahi kushinda ligi hata moja toka aanze kupambana. Amekuwa ni mtu mwonevu sana kwa wasanii wachanga na wadogo lakin anapofika kwa mangur hukwama vibaya sana na watu wote ambao ashawahi kuingia nao kwenye ligi kwa sasa ni matajir hatar wa kutupwa

Alianza kwa joseph haule akakwama leo joseph ni mbunge
Akaja kwa sugu akakwama vile vile leo hii sugu ni mbunge na anamilik hotel
Akaja kwa komando jide akakwama vibaya sana had akaomba poo mwenyewe licha ya jide kutaa kusuluhishwa lakin baadae uongoz wake uliluhusu nyimbo za komando machoz kupigwa kwenye redio

Kwa dudu baya napo pia ulikwama
VITA ULIYOPIGWA VIBAYA SANA ni ile ya ERICK SHINGONGO leo hii mwenzako ni bilionea wa kutisha wewe bado unaendelea kulamba miguu ya kusaga kwa kusubiri ujira ili ulipwe kwa mwez

Majizo naye anaelekea kukupiku
Mishen town akakunyanganya demu ukabak unalia kama mtoto ambaye kanyimwa mandaz au pipi mafua

Kwa sasa napo upo kwenye vita NA KOLOMIJE BOY na tiar ushaanza kuomba poo na kusalimu amri acha kutafuta huruma ya rais na wananchi pambana mwenyewe usituingize sisi kwenye vita yenu ambayo hata haituhusu

Zaman ulozoea kwa mshikaji wako jk ulikuwa ukiguswa tu kidogo unapiga cm ikulu leo yupo ngosha zama zimebadilika mkuu
VITA AMBAYO USHAWAH KUSHINDA NI ILE YA MWANA DADA RUBY

NANYUPU

LONDON BABY
mtoa uzi.hii ndio nchi pekee yenye maadui wengi kuliko stelingi
 
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Ruge ni binadamu anayependa sana ligi wakati huohuo hawezi ligi na hajawahi kushinda ligi hata moja toka aanze kupambana. Amekuwa ni mtu mwonevu sana kwa wasanii wachanga na wadogo lakini anapofika kwa manguri hukwama vibaya sana na watu wote ambao ashawahi kuingia nao kwenye ligi kwa sasa ni matajiri hatari wa kutupwa

Alianza kwa joseph haule akakwama leo joseph ni mbunge
Akaja kwa sugu akakwama vile vile leo hii sugu ni mbunge na anamilik hotel
Akaja kwa komando jide akakwama vibaya sana hadi akaomba poo mwenyewe licha ya jide kutaa kusuluhishwa lakini baadae uongozi wake uliluhusu nyimbo za komando machozi kupigwa kwenye redio

Kwa dudu baya napo pia ulikwama
vita uliyopigwa vibaya sana ni ile ya Erick Shigongo leo hii mwenzako ni bilionea wa kutisha wewe bado unaendelea kulamba miguu ya kusaga kwa kusubiri ujira ili ulipwe kwa mwezi

Majizo naye anaelekea kukupiku mishen town akakunyanganya demu ukabaki unalia kama mtoto ambaye kanyimwa mandazi au pipi mafua

Kwa sasa napo upo kwenye vita na kolomije boy na tayari ushaanza kuomba poo na kusalimu amri acha kutafuta huruma ya rais na wananchi pambana mwenyewe usituingize sisi kwenye vita yenu ambayo hata haituhusu

Zamani ulozoea kwa mshikaji wako jk ulikuwa ukiguswa tu kidogo unapiga simu ikulu leo yupo ngosha zama zimebadilika mkuu.

Vita ambayo ushawahi kushinda ni ile ya mwana dada ruby

Nanyupu

LONDON BABY

Ulio wakosea wanasemaje Juu yako............????!!!!
 
kuna kijiukweli fulani hapo
hapo kwa ruby daaah jamaa kamfanya nandy aimbe kama ruby mpaka sauti
mi sipendi anavyowafanyia wasanii anatengeneza ile kitu ya kufanya kila msanii amuogope na kumsujudu wakati hayo ni mambo ya kizamani
 
33ef4b047fb71fa2e3a8664ab9f36c89.jpg
 
Hiyo vita na Shigongo naomba unidadavulie. Anyway, Lady Jaydee bado yupo? Mara ya mwisho kumsikia mwaka jana na wimbo wake NDINDINDI
Wewe unakaa nchi gan mkuu
 
Back
Top Bottom