luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Na hapa ndipo hata umaskini wa maendeleo huanzia....wa tz wengi sana reasoning tupo chini sanaMojawapo ya majanga makubwa kabisa yanayotukabili sisi watanzania kwa ujumla wetu ni uwezo wet wa kufikiri
Mkuu unajua ownerxhip ya CMG ikoje? Una uhakika Ruge hana ownerxhip right zozote?Cha kushangaza mwenye mali CMG hana bifu na wana, yeye biz tu, mkielewana/msipoelewana poa, sijuwi kwanini wanaongalia mali wanakuwa wakuda, rostoki na roho mbaya kuliko wenye mali?!
Mitoto ya siku hizi kichwani zero kabisa yaani hujui kutofautisha 'x' na s?Mkuu unajua ownerxhip ya CMG ikoje? Una uhakika Ruge hana ownerxhip right zozote?
Na mimi naomba anidadavulie ya majizo demu yupi?Hiyo vita na Shigongo naomba unidadavulie. Anyway, Lady Jaydee bado yupo? Mara ya mwisho kumsikia mwaka jana na wimbo wake NDINDINDI
Mkuu umefukua makaburi yanayomuhusu ruge
wewe unatumia kigezo gani mpaka kusema Shigongo kamuacha mbali Ruge..?Mkuu hata kwa akili ndogo tu ya kawaida unaweza kumulinganisha shigongo na ruge?
Kwa sababu ruge ni mfanyakazi wa pale CMG kupata kura hadi arambe rambe miguu ya kusagawewe unatumia kigezo gani mpaka kusema Shigongo kamuacha mbali Ruge..?