Ruge Mutahaba huwezi vita mara zote huambulia patupu

Ruge Mutahaba huwezi vita mara zote huambulia patupu

Hii hoja yako hujaiandika vizuri yaan Umeshindwa jujielezea embu anza upya
 
Cha kushangaza mwenye mali CMG hana bifu na wana, yeye biz tu, mkielewana/msipoelewana poa, sijuwi kwanini wanaongalia mali wanakuwa wakuda, rostoki na roho mbaya kuliko wenye mali?!
Mkuu unajua ownerxhip ya CMG ikoje? Una uhakika Ruge hana ownerxhip right zozote?
 
Hiyo vita na Shigongo naomba unidadavulie. Anyway, Lady Jaydee bado yupo? Mara ya mwisho kumsikia mwaka jana na wimbo wake NDINDINDI
Na mimi naomba anidadavulie ya majizo demu yupi?
 
Cha kushangaza mwenye mali CMG hana bifu na wana, yeye biz tu, mkielewana/msipoelewana poa, sijuwi kwanini wanaongalia mali wanakuwa wakuda, rostoki na roho mbaya kuliko wenye mali?!
Si ni mhaya mkuu
 
Write your reply...Ruge kuumwa kwake kunachukuliwa kama karma!. lakini ieleweke huyu jamaa ni genius. issue ya kuwapiga wasanii ni ujinga wao wenyewe! bila Ruge clouds isingekuwa hapo ilipo.
 
wewe unatumia kigezo gani mpaka kusema Shigongo kamuacha mbali Ruge..?
Kwa sababu ruge ni mfanyakazi wa pale CMG kupata kura hadi arambe rambe miguu ya kusaga

Wakati mwenzie ni mafia mfanya biashara mkubwa wa nje na ndan ya nchi

Sasa ruge anasubili had amnyonye ruby ndo apate hela ya kula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom