Nani anamlipa?We ujui hata hiyo fursa ni dili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anamlipa?We ujui hata hiyo fursa ni dili
Mkuu Ruge ni tapeli flani tu hivi. Kama kondakta wa matatu, anayesema twende kisha anabakia nyumaWakuu nimekuwa nikimsikia kila mara Ruge na timu yake wakifundisha kuhusu fursa. Basi nimejikuta nashawishika kujua biashara alizonazo hapa mjini ukiondoa kuajiriwa Clouds Media Group .
Naamini humu kuna watu wake wa karibu au ambao kawajiri watanijuza .