Ruge na Clouds wanyoosha mikono kwa Rubby

Kama ni ya cocacola clouds bado wajanja wameipiga kwa kua wamelipwa na cocacola,kipindi kikiisha wanamkaushia tu
 
Clouds ikiongozwa na mkurugenzi wao RUGE walisusa kupiga nyimbo za mwanamziki Rubby
Acha uzushi wewe... walisusa kupiga nyimbo zake au unahisi kwamba walisusa kupiga nyimbo zake? Halaafu bado unajiita Msema Kweli wakati ni Msema Uongo!!! That;s one, lakini hata tuki-assume unasema kweli; sasa hapo walichonyoosha mikono ni nini wakati simple and clear hiyo Coke Project naa si kwamba walikuwa wanapiga nyimbo za Rubby!
 
umeongea ukweli kuwa na bifu na mtu sio kushndwa kupga nyimbo zake ila jide yy alikataa zisipgwe ila ruby wanapga tu
EXACTLY... tena hata wakati bifu lipo juu bado walikuwa wanapiga nyimbo za Jide na wakaacha pale Jide aliposema wasipige nyimbo zake!
 
Na JF wanavyojifanya kupinga unyonyaji dhidi ya wasanii huwezi kuamini maofisni kwao wanalipwa chini ya Laki 7 baada ya kuhangaika na daladala mwezi mzima kwenda na kurudi "kazini"! Sasa mtu mwenye digrii au diploma anayelipwa chini ya laki 7 kwa mwezi na aliyemaliza Form IV Failure na kufanya show kwa Laki 5 sijui ni nani hapa anaongoza kunyonywa!!!
 
Sugu alijirudi au ruge aliomba kupatanishwa kupitia kwa lisu baada ya kusikia antivirus volume 3 inakuja.
 
Eti clouds wamempigia magoti rubby? dah! Clouds hawaweza kumbembeleza mtu asiye na faida kwa media kama clouds! Huyo rubby ni suala la mda tu!

Mulizeni Roma Mkatoliki mulizeni Prof j mulizeni Sugu!

Rubby atakuja kumpigia magoti mwenye Ruge!
Aisee kumbe ukikorofishana na clouds unazid kutoboa,chek sugu na prof j wamepata ubunge.
 
Mie hata sielewagi wimbo nikiukuta you tube inatosha
 
Clouds FM na E FM wamesha maliza mivutano yao?
Bado...na nasikia Clouds nao wanataka kuanzisha Jogging kama wanavyofanya Efm.
Nimesikia lakini ila kutoka kwa wahusika wakuu wa hizo redio.
 
Diamond anawanyosha clouds, yani hats wakimuita interview utadhani wanaongea na jpm!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…