Ruge na Clouds wanyoosha mikono kwa Rubby

Ruge na Clouds wanyoosha mikono kwa Rubby

Clouds ikiongozwa na mkurugenzi wao RUGE walisusa kupiga nyimbo za mwanamziki Rubby kama walivyofanya kwa LADY JD kutokana na Rubby kuwagomea kufanya show ya FIESTA kutokana na malipo madogo yanayo wanyonya wasanii badala ya kufanya makubaliano wakaamua kumkomoa kwa kutokupiga nyimbo zake lakini leo clouds radio na jana CLOUDS TV wamepiga nyimbo yake na kuionesha ktk TV aliyoimba na yemi alade wa Nigeria ktk Coke studio kutokana na kubanwa na mkataba wao na COCACOLA ...

Viva Rubby na na JAY DEE kwa kujielewa na kuwa na msimamo [emoji1434][emoji1434] wataelewa tu. Wasanii wengine mna kila sababu ya kujielewa na kuwa na msimamo badala ya kupelekwa pelekwa na CLOUDS FM.
Kama ni ya cocacola clouds bado wajanja wameipiga kwa kua wamelipwa na cocacola,kipindi kikiisha wanamkaushia tu
 
Clouds ikiongozwa na mkurugenzi wao RUGE walisusa kupiga nyimbo za mwanamziki Rubby
Acha uzushi wewe... walisusa kupiga nyimbo zake au unahisi kwamba walisusa kupiga nyimbo zake? Halaafu bado unajiita Msema Kweli wakati ni Msema Uongo!!! That;s one, lakini hata tuki-assume unasema kweli; sasa hapo walichonyoosha mikono ni nini wakati simple and clear hiyo Coke Project naa si kwamba walikuwa wanapiga nyimbo za Rubby!
 
umeongea ukweli kuwa na bifu na mtu sio kushndwa kupga nyimbo zake ila jide yy alikataa zisipgwe ila ruby wanapga tu
EXACTLY... tena hata wakati bifu lipo juu bado walikuwa wanapiga nyimbo za Jide na wakaacha pale Jide aliposema wasipige nyimbo zake!
 
Na JF wanavyojifanya kupinga unyonyaji dhidi ya wasanii huwezi kuamini maofisni kwao wanalipwa chini ya Laki 7 baada ya kuhangaika na daladala mwezi mzima kwenda na kurudi "kazini"! Sasa mtu mwenye digrii au diploma anayelipwa chini ya laki 7 kwa mwezi na aliyemaliza Form IV Failure na kufanya show kwa Laki 5 sijui ni nani hapa anaongoza kunyonywa!!!
 
Bila wasaniii kuungana na kuukataa unyonyaji kwa pamoja hawezi kuwafanya lolote Clouds.
Clouds waishajua Njaa za hawa wasaniii na watawafanya wanavyotaka na huyo sijui rubby hana mda mrefu ataenda kupiga magoti.

pili wasaniii wenyewe ndio wapi hapa Bongo? kwa nyimbo zipi za maana walizonazo? acheni Cloods wapige pesa wao walichungulia fursa mapema.

Sugu na usugu wake alikaaza mwenshowe akaja kuachia mwenyewe tena akiwa mbunge. unadhani hicho sijui ki rubby kina nini?
Sugu alijirudi au ruge aliomba kupatanishwa kupitia kwa lisu baada ya kusikia antivirus volume 3 inakuja.
 
Eti clouds wamempigia magoti rubby? dah! Clouds hawaweza kumbembeleza mtu asiye na faida kwa media kama clouds! Huyo rubby ni suala la mda tu!

Mulizeni Roma Mkatoliki mulizeni Prof j mulizeni Sugu!

Rubby atakuja kumpigia magoti mwenye Ruge!
Aisee kumbe ukikorofishana na clouds unazid kutoboa,chek sugu na prof j wamepata ubunge.
 
Mie hata sielewagi wimbo nikiukuta you tube inatosha
 
Clouds FM na E FM wamesha maliza mivutano yao?
Bado...na nasikia Clouds nao wanataka kuanzisha Jogging kama wanavyofanya Efm.
Nimesikia lakini ila kutoka kwa wahusika wakuu wa hizo redio.
 
Diamond anawanyosha clouds, yani hats wakimuita interview utadhani wanaongea na jpm!!
 
Back
Top Bottom