Ruge nini ulichomfanyia Q-chief?

Uyo ruge kwa nini asemwe yeye tu kila siku???
Muulize komando jide,ngwair,p funk majan,rama dee na wengine wengi
Uyo jamaa ni mzimu wa kuwanyonya wasanii na tunamjua sana tu.sio q chief tu, wengi washakutana na huo mzimu
 
Asimsingizie ruge, mipoda yake anayotumia ndio ailaumu ..........

Grand PA
 
ushikaji na kuoneana noma ndo kumefikisha vijana wengi hapa walipo!hawa wa kina q chief watu wa karibu walikuwa wanajua kama anakula ngada ila hawakumstua sasa amechoka na kila raia anajua basi lawama kwa ruge!......leo wema na rommy wanakula unga na watu wa karibu wanajua ila kwakuwa wanamudu kujinunulia huo unga na wako smart nobody cares!siku wakichoka ruge atabebeshwa lawama!...hii si kwa hao tu hata kwa maskani nyingi!.......mtu kama anakula unga achanwe ajue kama watu wanajua kuliko kusubiri achoke
 
Na kula unga ni ruge alimsokomezea mdomoni? Kiboga kule Mombasa je? Yani MTU ashindwe lawama abebeshwe mwingine.

Ashaliwa na kiboga kumbe, walipokua wanawika wariringa acha wapoteee tu waje wapyaaa
 

Ilo ni kweli wasanii wetu wakishakuwa mastaa wanajisahau sana hata wakishauriwa hawasikii lolote na mbaya kinacho wa cost ni uelewa mdogo labda na shule sasa mtu anaona kufanya upuuzi ylevi uliopitiliza madawa mi skendo ndo deal kikianza kubuma au mambo kuharibika wana mlaumu Ruge bure bila kujua ina maana yeye ndo anawaambia wafanye ujinga watumie unga wanashindwa kuchanganya za kwao sasa Wema naye ni janga sifa za kijinga zinamponza na mashabiki teeneger anaowasikiliza anavuta unga mipombe na hata mibangi hashauriki akijiona kim kardashian hewa mambo yake yana mwendea vibaya watu wanaanza kumlaumu diamond am sure Hawa wasanii wanashauriwaga hawaskii wakija kuharibikiwa wana baki kulaumu
 

Well said..
 
Kwanini binadamu wanapenda kutupia lawama wenzao? Ruge ana mabaya tuu? mazuri Hana eeh? wasani wengi ni malimbukeni na wametoka kwenye hali duni,wanapopata senti ndio wanaanza kulimbuka nakufanya vitu vya ajabu
ivi Msanii unakula unga kwa pesa gani? wanakula vumbi la unga sumu kibao matokeo yake sura zinazeeka lishe mbovu wanabakia kusema huyu kaniroga kumbe wamejiroga wenyewe............
 

Wahaya ndivyo walivyo,ruge ni shetani kabisa,mshamba.
 
Last edited by a moderator:
Uyo ruge kwa nini asemwe yeye tu kila siku???
Muulize komando jide,ngwair,p funk majan,rama dee na wengine wengi
Uyo jamaa ni mzimu wa kuwanyonya wasanii na tunamjua sana tu.sio q chief tu, wengi washakutana na huo mzimu

Watu wakishafeli hawakosi wa kuwasingizia kuwa ndo wamewafanya wasitoke.

Hivi Ruge anawabaniaje mpaka wasisikike? Tz kuna radio ngapi? Tz kuna television ngapi? Ina maana pote huko Ruge ndo anapatawala hadi awazuie wasicheze nyimbo zao?

Visingizio vingine vimekaa kijingajinga sana kuwashawishi watu ili wavikubali.

Hao wasanii hawana nyimbo za maana wameshafulia wanataka daily wabebwe kwa kupiga nyimbo zao za mwaka 47 wakati kuna watoto kama akina young killer daily wanatusua masong mapya na makali.

Waambieni hao wasanii waache kula unga wakomae na soko la ushindani, biashara ya kujuana na kuangaliana usoni ishapitwa na wakati.
 
Wahaya ndivyo walivyo,ruge ni shetani kabisa,mshamba.

Shetani ni mama ako na kabila lako mnaoishi maporini kama wanyama... tuondolee ukabila wako hapa kwa kutuletea drama za majungu na wivu.
 
chief kumbeeeeeeeeee na pande ya mombasa enzi hizo hehehe

Huyo pimbi q-chief nani asiyemjua kwa nyodo alizokua nazo enzi zake??? Alikua anatukana kuanzia mashabiki wake mpaka wasanii wenzio. Mjinga huyo alikua analinga sana.

Hao wanaomsingiziaga Ruge ina maana yeye ndo anawatungiaga mistari ya kuimba?

Chukulia mfano suma lee kuna kipindi kafulia miaka kama mi3 ila alitoa song la hakunaga akarudi barabarani na akatusua hela kibao. Hatujasikia akiwasingizia watu zaid ya kusema kimya kingi kina mshindo.

Lakini kwa akili za hao mapimbi ungesikia ooh ruge anatubania.

Nauliza tena ina maana ruge ndo anawatungia nyimbo???
 
Ama kweli dunia inazunguka huyu nae sahiz anamtaja taja Mungu......
 
Wahaya ndivyo walivyo,ruge ni shetani kabisa,mshamba.

Sidhani kama uko sawa sasa uhaya unaingiaje hapo mtu anafanya ujinga wake wa kutumia unga hatungi nyimbo nzuri hafu time zake huyo q chief zimeshapita bwana akubali kufulia basi msisingizie hadi Wahaya
 

Kuna siku Ray C kamshauri T.I.D aache kula ngada lakini alichokiambulia toka kwa TID na mashabiki wake yalikua ni matusi.
Badala ya kumsapoti mtoa ushauri kaishia kutukanwa.

Subiri baada ya mwaka TID akihojiwa kwanini mziki wake umeshuka utasikia anasema Ni Ruge ndo kamporomosha ki muziki.

Hawa wasanii ni njaa tupu. Tatizo shule ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…