Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kula unga ni ruge alimsokomezea mdomoni? Kiboga kule Mombasa je? Yani MTU ashindwe lawama abebeshwe mwingine.
ushikaji na kuoneana noma ndo kumefikisha vijana wengi hapa walipo!hawa wa kina q chief watu wa karibu walikuwa wanajua kama anakula ngada ila hawakumstua sasa amechoka na kila raia anajua basi lawama kwa ruge!......leo wema na rommy wanakula unga na watu wa karibu wanajua ila kwakuwa wanamudu kujinunulia huo unga na wako smart nobody cares!siku wakichoka ruge atabebeshwa lawama!...hii si kwa hao tu hata kwa maskani nyingi!.......mtu kama anakula unga achanwe ajue kama watu wanajua kuliko kusubiri achoke
Uyu ----- alipokuwa juu alikuwa na nyodo sana...Ama kweli ulimwengu ndio mama.
Nimemsikia Chillah kwenye hii Video anasema amekuwa na msoto mkali kwa miaka mitano na sababu kubwa hasa anadai kuwa ni kupishana kauli na boss mkuu wa Mjengoni Ndg Rugemalila
Vile vile amedokeza kuwa katika kipindi hiki pia alikuwa akijihusisha na utumiaji wa madawa.ya kulevya hapa sijajua ni kwa nini alijiingiza kwenye matumizi ya madawa sijui alianza kutumia kwa sababu ya msongo wa mawazo baada ya kuchemsha kwenye gemu? au sijui ni ule usela ma..vi tu??
Lakini yote kwa yote wasanii wanatakiwa waachane na hii Kasumba ya kuweka visingizio vya kubaniwa na Ruge kila wanapoanguka kimuziki wanatakiwa wabuni njia mbadala za kusavaivu katika mziki bila kumtegemea Ruge na Clouds Fm
Ashaliwa na kiboga kumbe, walipokua wanawika wariringa acha wapoteee tu waje wapyaaa
Na wizi wa vitu kwenye magari pia kafundishwa na Ruge?
Nimesikilza hii video ya msanii Q-chief imenisikitisha sana jinsi wasanii wazuri kama hawa wanavyopotezwa na watu fulani fulani kisa ya masilahi binafsi.
Binafsi nafkiri Q-chief ni moja ya wasanii wenye vipaji sana na mahiri kutokea hapa nchini. Najua ana mapungufu yake,ila sidhani anastahili kuwa alivyo sasa.
Nimegundua baada ya kutazama hii video.
Ruge ni mwiba sana katika tasnia ya sanaa hapa nchini,hataki mtofutiane katika maslahi yake.
Uyo ruge kwa nini asemwe yeye tu kila siku???
Muulize komando jide,ngwair,p funk majan,rama dee na wengine wengi
Uyo jamaa ni mzimu wa kuwanyonya wasanii na tunamjua sana tu.sio q chief tu, wengi washakutana na huo mzimu
Wahaya ndivyo walivyo,ruge ni shetani kabisa,mshamba.
chief kumbeeeeeeeeee na pande ya mombasa enzi hizo hehehe