Ruge nini ulichomfanyia Q-chief?

Sauti kwa mbali bado ipo..ajipange anaweza rudi akapata za kubadilishia kofia...ila huyo boss mpya ...mmmh tutasikia mengine sasa hivi....time will tell

Tatizo jingine ni hao mameneja wanawaowachukua yeye kwa sababu kaona tu jamaa ana mkwanja wa kutosha basi anaamua kusainishwa mkataba haulizi hata watafanyaje kazi mtu hata haujui mziki mziki wenyewe jamaa ana mipesa yake ya unga ndo unamfanya kuwa meneja badala ya kukusimamia katika mziki anakutumia tu katika biashara zake unga wasanii waamke sasa ikiwezekana watafute mameneja watakao waajiri wao wenye wawe wanawalipa mshara badala tu ya kutafuta tu mapedeshee wauza unga
 

kaka unamtetea sana ruge
nduguyo nini?!
samahani lakini!
 
mambo mingine sioni kama yana mantiki kiuhalisia kama umeishiwa umeishiwa hata upate promo gani kwa mfano huyu anaijiita GK wa upanga ameishiwa kitambo tu lakini juzijuzi clouds walikuwa wanampa promo ya ile nyimbo cjui inaitwaje lkn wapi amefeli turudi kwa jide no promo from clouds lakini bado anatusua vilevile kwa rama dee na alipata tuzo bila promo kutoka kwa hao clouds.lkn izi sababu za kusema cjui ruge cjui nani hamna lolote ni dalili za stress na kuishiwa mbinu mpya kushawishi raia wazikubali nyimbo zako.
 
C kuna kipind q chief ameacha unga alisaidiwa amerudia tena ama?
 
Mfa maji haishi kutapatapa, ye kawaida yake anataftaga mtu wakumpa lawama zote, alisemaga diamond kamloga..
 

Radhi za babaake aliyekua anamuimba na kumsakama kama kajizaa mwenyewe. Halafu alikua akituzwa pesa anaenda kula unga na kubeba malaya unamuimba mtu aliyekuleta duniani halafu pesa unazopata kwa wimbo huo unaenda kubeba malaya?. Malipo ni hapa hapa duniani. Akapige magoti kwa mzee katwila ruge hahusiki na laana hizo msimsingizie
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ndio maana nimekwambia Time will tell kwa huyo jama Qs.... dogo anaweza akawa ametoka wodi la wagonjwa wa kawaida na kuingia ICU...wanamuziki wa Tanzania wanataka kuajiriwa badala ya kuajiri manager wao
 

Wema ni stress za kufulia au anavuta kwa starehe zake,mda c mrefu atapotea kma ray c
 
yaani km anakula ngada baas
amuulize ray c

Ndio maana siku zinavozidi kwenda ndo anapoteza muelekeo yani siku akikosa ndo italipuka kama raisi Wema anapotea kiutani hivi kwa kutosikia ushauri umaarufu una mponza diamond mwenyewe kamvumilia tu
 
yaani km anakula ngada baas
amuulize ray c

Umaarafu n sifa za kijinga ndio zinamponza huwa anajifanya mtoto bdo kumbe sembe ndio inamuathiri,acha domo afumue mpka 0717 ikose breki akicheka 2 anatoa gesi.
Mwanamke teja ni shida anafumulia kotekote na mwanaume teja anaishia kua mchelemchele
 
Ndio maana siku zinavozidi kwenda ndo anapoteza muelekeo yani siku akikosa ndo italipuka kama raisi Wema anapotea kiutani hivi kwa kutosikia ushauri umaarufu una mponza diamond mwenyewe kamvumilia tu

Teja huwa hajielewi ndio mana domo anapiga free mitandao yote,then anasema demu mlevi mbwa na huyo mpumbavu aunt,ila kwel kashapotea tutamsahau mda c mrefu
 
Mwanamke teja ni shida anafumulia kotekote na mwanaume teja anaishia kua mchelemchele[/QUOTE said:
Mkuu unaweza kula tigo ya teja???una roho ngumu aiseeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…