Ruge nini ulichomfanyia Q-chief?

Ruge nini ulichomfanyia Q-chief?

mi nashangaa watz wengi tunamlaumu mtu pale mambo yanaenda hovyo. hili ni soko huria. mfumo huu unamruhusu mtu kufanya lolote atakalo ili mradi hujavunja sheria. naudhika kusikia mtoto wa kiume unalalamika mtu flani anakuzibia riziki. wewe kama mmekorofishana na mtu na ana umiliki wa mahali fulani unafikiri atakuachia basi tu coz ni msanii mkali. sijaelewa hilo jamaa la clouds lina nguvu gani lakini Logically speaking, hilo jamaa halina makosa. wakat huu sio ule wa ujamaa wa Nyerere eti tuwe tunashikamana. this is capitalism.. which means 'Me first'... 'I can do whatever the f**k i want'.. kama wewe unapigania maendeleo yako kwa nn ulalamike badala ya ku-get ur a** up and fight!... mfano wa kuigwa: Sugu. ona yuko wapi. alitoa antivirus huku akitafuta njia zake mwenyewe. ona waliobaki wanaegemea mgongo wake wameenda kupiga magoti afu wanamwita msaliti. reference: Eminem-survival
 
Mkiwa peak mnakula unga mkianza kuwa mateja mnamlaumu Ruge.. Tangu lini teja akaweza kuimba na kubwia unga kwa wakati mmoja.

Hata Mimi hili jambo lina nishangaza sana tena sana huyu madawa yame muharibu.kwa hiyo anataka kutuambia Ruge alimtuma ale unga?
 
ushikaji na kuoneana noma ndo kumefikisha vijana wengi hapa walipo!hawa wa kina q chief watu wa karibu walikuwa wanajua kama anakula ngada ila hawakumstua sasa amechoka na kila raia anajua basi lawama kwa ruge!......leo wema na rommy wanakula unga na watu wa karibu wanajua ila kwakuwa wanamudu kujinunulia huo unga na wako smart nobody cares!siku wakichoka ruge atabebeshwa lawama!...hii si kwa hao tu hata kwa maskani nyingi!.......mtu kama anakula unga achanwe ajue kama watu wanajua kuliko kusubiri achoke

Muuza sura hiyo ya wema kula unga sijaisikia...halafu diamond anataka kuoa kweli
 
Back
Top Bottom