Kitendo alichokifanya mmiliki wa clouds jana(ruge mutahaba) ni dharau iliyovuka mipaka,hata kama mna bifu lenu na jide kwa nini uonyesh dharau kias kile?,yan ina maana umetudharau kupita maelezo sisi wasikilizaj wa clouds,lengo halikuw kumkomoa jide bali wasikilizaj wa clouds na wana bongo fleva kwa ujumla,yaan umejionyesha kwamba wew ni mungu mtu unawez kufany chochote na mda wowote unaojisikia je umesahau kuwa sis ndo tunaokuweka mjin?,au hyo clouds inasikilizw na wanyama?,bro its better uka chukua mda mwingine kama ulivyofanya jana na kkutuomba radh sisi wasikilizaj na wabongo fleva kwa ujumla..