Ruge unatakiwa uombe msamaha haraka sana

Ruge unatakiwa uombe msamaha haraka sana

wajojo

Senior Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
155
Reaction score
83
Kitendo alichokifanya mmiliki wa clouds jana(ruge mutahaba) ni dharau iliyovuka mipaka,hata kama mna bifu lenu na jide kwa nini uonyesh dharau kias kile?,yan ina maana umetudharau kupita maelezo sisi wasikilizaj wa clouds,lengo halikuw kumkomoa jide bali wasikilizaj wa clouds na wana bongo fleva kwa ujumla,yaan umejionyesha kwamba wew ni mungu mtu unawez kufany chochote na mda wowote unaojisikia je umesahau kuwa sis ndo tunaokuweka mjin?,au hyo clouds inasikilizw na wanyama?,bro its better uka chukua mda mwingine kama ulivyofanya jana na kkutuomba radh sisi wasikilizaj na wabongo fleva kwa ujumla..
 
Kwani redio ni clouds tuu,sii usikilize zingine mkuu!dawa yao ni kukata mrija kwa serengeti wanaodhamini fiesta.kwanza fiesta husababisha maambukizi makubwa ya HIV kwa vijana kila mahali ifanyikapo
 
Ni kweli kaka lakin hawa wanafany kibur kwa kuwa wanajua fika clouds inasikilizwa na watu wengi especially vijana,sas naona wanatak kututawal na kutunyonya had wasikilizaj...aisee this battle has started tutaona hyo jeur yako utaipelk wap,kama sis ndo tunaokupa jeur hakyamungu hyo redio utakuw unasikiliz na familia yako uko kijijin...huwez kutuletea dharau za ajabu..its true u rock but u have to know sisi ni akina nan..for the love of clouds
 
Kitendo alichokifanya mmiliki wa clouds jana(ruge mutahaba) ni dharau iliyovuka mipaka,hata kama mna bifu lenu na jide kwa nini uonyesh dharau kias kile?,yan ina maana umetudharau kupita maelezo sisi wasikilizaj wa clouds,lengo halikuw kumkomoa jide bali wasikilizaj wa clouds na wana bongo fleva kwa ujumla,yaan umejionyesha kwamba wew ni mungu mtu unawez kufany chochote na mda wowote unaojisikia je umesahau kuwa sis ndo tunaokuweka mjin?,au hyo clouds inasikilizw na wanyama?,bro its better uka chukua mda mwingine kama ulivyofanya jana na kkutuomba radh sisi wasikilizaj na wabongo fleva kwa ujumla..

Ungekuwa Senior Expert hapa JF usingeandika ushuzi kama huu.
Skia we mtoto haya matapishi nenda kayaweke Facebook.
 
Na wewe anzisha yako uweke masharti yako. Mbona Radio one walikua hawapigi muziki wa Taarab tangu ilipoanzishwa hadi kufikia miaka 2000s!. Pia baada ya Manji kuwa mwenyekiti wa Yanga habari za Yanga zilisusiwa na vyombo vyote vya IPP. Mimi naona kama unahisi wamefanya kosa basi ni bora usisikilize tu.
 
Yani baada ya kuweka nyimbo za kumtukuza Mungu wewe kimekuuma sana!!!!!

Japo hupendi kumtukuza Mungu ila mara moja moja sio mbaya.
Eti "chukua time na utuombe radhi wabongofleva" kwani alisema kwamba bongofleva ndo itakuwa inapigwa tu.
 
Kama wew mkubwa ungeacha nijibizane na watoto wenzangu imekuwaje na ww uingilie?,mi nahis wew ndo wale wale waliopat zero na kusubiria standardazation...pumbavuuuuuuuu......
 
Wao si ndo walioanzish hyo program yao ya made in tanzania? sas imekuwaj tena jan kukataz nyimbo za nyumban kutopigwa kweny radio yake? M sidhan kuw alikuw sahihi huo ni ugomvi wake na jide na sio bongo fleva yote...alichofany ni ukandamizaj
 
Malalamiko mengine bana.

Utadhani redio yako inakamata matangazo ya Clouds tu.
 
Wao si ndo walioanzish hyo program yao ya made in tanzania? sas imekuwaj tena jan kukataz nyimbo za nyumban kutopigwa kweny radio yake? M sidhan kuw alikuw sahihi huo ni ugomvi wake na jide na sio bongo fleva
yote...alichofany ni ukandamizaj

Ndo utapata picha halisi ya mtu huyu ni mtu wa namna gani
 
Baadhi yenu hamkuusoma wosia wa Jide. Bora angeilaumu Clouds kama taasisi. Kumattack mtu personally ni kumdhalilisha,na kukosa heshima..
 
ngoja kidogo.unakumbuka kora award miaka ileeeee jide alienda south na ruge waka......rum moja.kipindi hicho hajaangukia mikononi mwa........SAMAHANI NAWAZA KWA SAUTI TU.
 
Ndo utapata picha halisi ya mtu huyu ni mtu wa namna gani

hali,halali,hawazi kitu kingine,ni ruge,ruge,jay dee,jay dee,!mtu mzima huna la kufanya?hovyoooo!!kwani hizo gospel kupigwa kinakuuma nn!!?kaanzishe radio yako upige taarab!
 
hali,halali,hawazi kitu kingine,ni ruge,ruge,jay dee,jay dee,!mtu mzima huna la kufanya?hovyoooo!!kwani hizo gospel kupigwa kinakuuma nn!!?kaanzishe radio yako upige taarab!

Mia........
 
Kuna Radio station 82, toa 1 Clouds Fm sikiliza 81 zilizobaki bwegge wewe.
 
ngoja kidogo.unakumbuka kora award miaka ileeeee jide alienda south na ruge waka......rum moja.kipindi hicho hajaangukia mikononi mwa........SAMAHANI NAWAZA KWA SAUTI TU.
Nakumbuka magazeti ya shigongo yalimwandika sana kuhusiana na suala hilo, akatangaza kuacha muziki,maana magazeti yanamfuatilia sana.
 
Back
Top Bottom