Rugemeleza Nshala: Tutafungua Kesi kupinga Mkataba wa DP World na Tanzania

View attachment 2664799
Mwanasheria mkongwe nchini, Dkt. Rugemeleza Nshalla amesema anakusudia kwenda mahakamani pamoja na wadau wengine kupinga dhamira ya Serikali kusaini mkataba kati ya serikali na kampuni ya DP World unaolenga kuboresha Bandari ya Dar es Salaam ambao amedai kuwa umekiuka katiba na sheria mbalimbali za nchi.
Nchi iliwasomesha sheria ili muisaidie. Fungueni hata kesi 100.
 
View attachment 2664799
Mwanasheria mkongwe nchini, Dkt. Rugemeleza Nshalla amesema anakusudia kwenda mahakamani pamoja na wadau wengine kupinga dhamira ya Serikali kusaini mkataba kati ya serikali na kampuni ya DP World unaolenga kuboresha Bandari ya Dar es Salaam ambao amedai kuwa umekiuka katiba na sheria mbalimbali za nchi.

Pia soma
Mtajikanyaga sana mwaka huu! Kwa nini waarabu! Kwa pilato tutaeleza kila kitu!
Mnabadilisha hata sheria zetu!? RUbbish
 
Back
Top Bottom