Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Huko Uganda leo story kuu ni moja tu.
Ruhamya Kainerugaba amevishwa nyota moja baada ya kuhitimu mafunzo ya kijeshi katika chuo cha maofisa wa jeshi la Uganda kilichopo Kabamba.
Ruhamya mwenye miaka 22 amevishwa nyota hiyo na Amiri Jeshi Mkuu, General Yoweri Musevebi huku akishuhudiwa na baba yake General Muhoozi Kainerugaba ambaye ni Mkuu wa Majeshi ya Uganda.
Minong’ono imezuka kuwa huo ni mpango maalum wa Museveni wa kuwandaa wanafamilia wake (mtoto na mjukuu) kwenye Urais wa Uganda.
Wana Uganda wataendelea kuongozwa na familia moja kwa miaka mingi ijayo.