Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Familicracy and musevenism at its stinking order.Huko Uganda leo story kuu ni moja tu.
Ruhamya Kainerugaba amevishwa nyota moja baada ya kuhitimu mafunzo ya kijeshi katika chuo cha maofisa wa jeshi la Uganda kilichopo Kabamba.
Ruhamya mwenye miaka 22 amevishwa nyota hiyo na Amiri Jeshi Mkuu, General Yoweri Musevebi huku akishuhudiwa na baba yake General Muhoozi Kainerugaba ambaye ni Mkuu wa Majeshi ya Uganda.
View attachment 3694602
Minong’ono imezuka kuwa huo ni mpango maalum wa Museveni wa kuwandaa wanafamilia wake (mtoto na mjukuu) kwenye Urais wa Uganda.
Wana Uganda wataendelea kuongozwa na familia moja kwa miaka mingi ijayo.View attachment 3694603
Hata mimi nashangaa kwa kweli! Yani mtoto wa mkubwa anaingia jeshini hata mafunzo yatakuwa fair kweli? Front wataenda?Pole Yao Sana but kama wakiamua kukiwasha hakuna kitakacho zuia, hizo nyota ni urembo Tu, ukamanda halisi upo kwenye field. Hata huyo Muhoozi ana decorations nyingi lakini ni za bure, ikitokea wanajeshi wakambadilikia Hana pa kushika coz Hana uwezo na wala uzoefu wowote wa kimapigano, ni kama wale watoto wa Kagame, watoto soft soft waliozoea kutembelea nyota za wazazi wao wala hawatishi.....Watu kama Museveni, Gen.Saleh na comrades wengine waliopo Uganda unaweza Kusema kweli hawana ni makamanda.