LUS0MYA
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 866
- 1,109
Tanzania imefungua ukurasa mpya wa demokrasia kwa kurejesha haki ya wananchi kushiriki mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa.Tunachosubiri kuona ni je kweli kuna utashi wa kisiasa kuruhusu mikutano hii au ni shinikizo la wakubwa?
Maana yake kama ni utashi wetu basi ruhusa hii itatolewa bila kuwekewa kizingiti cha aina yoyote na vyombo vyote vinavyohusika na hasa vya usalama.pia ni wakati muafaka maoni mbadala yawakilishwe bila kutumia fujo,kejeli na matusi na pia watu wasisahau kufanya kazi.
Kurejeshwa kwa mikutano hii kunarudisha nguvu ya umma katika maamuzi ya mambo mbalimbali.