Rukwa colleg of health science sumbawanga

Mkudisingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
421
Reaction score
122
kwa anayefahamu chuo hicho tafadhali anijuze nimechaguliwa hapo certificate in clinical medical /assistant clinical officer.... je chuo ni serikali au private. jografia na majengo pamoja na hostel zao na hali ya hewa ya huko Rukwa,mwisho kabisa napenda kujuzwa utaratibu wa kuendelea na diploma upoje baada ya kumaliza miaka miwil ya certficate je naweza ajiriwa baada ya hiyo certificate?na assistant C.O wanalipwaje?Niwatakie wakati mwema nawasilisha.
 
Wengi tunatatizika kama kile chuo nicha gv au pr ukweli ni kwamba tulipo kichagua kule kwenye www.cas.ac.tz waliandika kuw nicha gv na ada wakasema kuwa ni 1.3m ila nilipokiulizia mara naona nicha pr sasa hapo weng tumeachwa njia pand
 
We kwel mbwiga hv unauliza toka rukwa had sumbawanga ni umbal gan? yaan ni sawa nakuuliza toka DAR_ES_SALAAM mpaka ilala ni umbal gan...
 
Nina miezi 5 tangu nianze kazi hapa swanga kuhusu uchawi naambiwa ilikuwa zaman, pako poa, kuhusu umbali ni km2 hadi 3 kutoka mjini yaan cente. hayo mengine waje wajuzi
 
Hawa ndo wasomi wa tanzania

Ambae hajui geografia ta nchi yake

Umbali wa rukwa mpaka sumbawanga ni sawa na

Ruvuma kwenda songea
 
duuh!!unataka tena nkuambie umbwiga uko wap! ngoja....

humu tunatoana ujinga na sio kila mtu anajua kilakitu kama umefanikiwa kujua jambo fulani usijifanye kibeberu kuwa mpole halafu elimisha wenzio maaafaka
 
Nina miezi 5 tangu nianze kazi hapa swanga kuhusu uchawi naambiwa ilikuwa zaman, pako poa, kuhusu umbali ni km2 hadi 3 kutoka mjini yaan cente. hayo mengine waje wajuzi

asante mkuu kumbe ni km 2 hadi 3....sasa hao wengine siwaelewi yani cjui wanamaanisha ukifika stand ndio umeshafika sumbawanga au la!
 
Hiki chuo kitakuwa kinatoa shahada ya uzamivu wa mambo ya uchawi
 
Nina miezi 5 tangu nianze kazi hapa swanga kuhusu uchawi naambiwa ilikuwa zaman, pako poa, kuhusu umbali ni km2 hadi 3 kutoka mjini yaan cente. hayo mengine waje wajuzi

We utakuwa mchawi sasa hivi
 
kwa anayefahamu chuo hicho tafadhali anijuze nimechaguliwa hapo certificate in clinical medical /assistant clinical officer....

je chuo ni serikali au private - umechaguliwa na nani hata usijue?
hali ya hewa ya huko Rukwa ikoje - hali ya hewa ni baridi
na huko sumbawanga naskia ni kiboko ya uchawi - bado unaishi karne ya 18? kwani wachawi wa bagamoyo na sehemu zingine ni wafipa? kwa taarifa yako wakaazi wote wa huko ni walokole iwe ni mkristo au mwislamu. Kama unataka kusoma waliko wachawi nenda Dar, Pwani, Lindi, Tanga na Kigoma huko ndiko wachawi wamejaa kila mahali
kutoka rukwa hadi sumbawanga - kwani kutoka Pwani mpaka Kibaha; kuroka Ruvuma mpaka Songea; Kutoka Mara mpaka Musoma; Kutoka Manyara mpaka Babati; Kutoka Unguja mpaka Zanziba; kutoka Pemba mpaka Chakechake; Kutoka Kilimanjaro mpaka Moshi; kutoka Kagera mpaka Bukoba; kutoka Katavi mpaka Mpanda e.t.c ni umbali gani?
 
Mkuu nahic ameelewa,, maana hz dv5 cku hz naona zpo kazn
 
humu tunatoana ujinga na sio kila mtu anajua kilakitu kama umefanikiwa kujua jambo fulani usijifanye kibeberu kuwa mpole halafu elimisha wenzio maaafaka

Mkuu Kumbe ww ni mjinga hafu uzi wako huu utoe au edit maana utachekwa huwez kuulza "hv kutoka kwenye kisima mpaka yanapopatikana maji ni mwendo wa umbal gan?"...hl swal ni gumu kujbu labda tuisubr BRN itatoa jbu
 
je chuo ni serikali au private - umechaguliwa na nani hata usijue?
hali ya hewa ya huko Rukwa ikoje - hali ya hewa ni baridi
na huko sumbawanga naskia ni kiboko ya uchawi - bado unaishi karne ya 18? kwani wachawi wa bagamoyo na sehemu zingine ni wafipa? kwa taarifa yako wakaazi wote wa huko ni walokole iwe ni mkristo au mwislamu. Kama unataka kusoma waliko wachawi nenda Dar, Pwani, Lindi, Tanga na Kigoma huko ndiko wachawi wamejaa kila mahali
kutoka rukwa hadi sumbawanga - kwani kutoka Pwani mpaka Kibaha; kuroka Ruvuma mpaka Songea; Kutoka Mara mpaka Musoma; Kutoka Manyara mpaka Babati; Kutoka Unguja mpaka Zanziba; kutoka Pemba mpaka Chakechake; Kutoka Kilimanjaro mpaka Moshi; kutoka Kagera mpaka Bukoba; kutoka Katavi mpaka Mpanda e.t.c ni umbali gani?

thenx ila usitumie mawino mekundu utaeleweka tu mku
 
Back
Top Bottom