Mkudisingo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 421
- 122
kwa anayefahamu chuo hicho tafadhali anijuze nimechaguliwa hapo certificate in clinical medical /assistant clinical officer.... je chuo ni serikali au private. jografia na majengo pamoja na hostel zao na hali ya hewa ya huko Rukwa,mwisho kabisa napenda kujuzwa utaratibu wa kuendelea na diploma upoje baada ya kumaliza miaka miwil ya certficate je naweza ajiriwa baada ya hiyo certificate?na assistant C.O wanalipwaje?Niwatakie wakati mwema nawasilisha.