Mkudisingo
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 421
- 122
We kwel mbwiga hv unauliza toka rukwa had sumbawanga ni umbal gan? yaan ni sawa nakuuliza toka DAR_ES_SALAAM namaanisha ukifika rukwa stand kuu had huko sumbawanga pana umbal gan?

sumbawanga ni makao makuu ya mkoa wa rukwa,, na hyo stand kuu iko sumbawanga....uwe unatembea na DIRA..
sasa hapo umbwiga uko wap we chizi
duuh!!unataka tena nkuambie umbwiga uko wap! ngoja....
Nina miezi 5 tangu nianze kazi hapa swanga kuhusu uchawi naambiwa ilikuwa zaman, pako poa, kuhusu umbali ni km2 hadi 3 kutoka mjini yaan cente. hayo mengine waje wajuzi

Hiki chuo kitakuwa kinatoa shahada ya uzamivu wa mambo ya uchawi
kwa anayefahamu chuo hicho tafadhali anijuze nimechaguliwa hapo certificate in clinical medical /assistant clinical officer....
je chuo ni serikali au private - umechaguliwa na nani hata usijue?
hali ya hewa ya huko Rukwa ikoje - hali ya hewa ni baridi
na huko sumbawanga naskia ni kiboko ya uchawi - bado unaishi karne ya 18? kwani wachawi wa bagamoyo na sehemu zingine ni wafipa? kwa taarifa yako wakaazi wote wa huko ni walokole iwe ni mkristo au mwislamu. Kama unataka kusoma waliko wachawi nenda Dar, Pwani, Lindi, Tanga na Kigoma huko ndiko wachawi wamejaa kila mahali
kutoka rukwa hadi sumbawanga - kwani kutoka Pwani mpaka Kibaha; kuroka Ruvuma mpaka Songea; Kutoka Mara mpaka Musoma; Kutoka Manyara mpaka Babati; Kutoka Unguja mpaka Zanziba; kutoka Pemba mpaka Chakechake; Kutoka Kilimanjaro mpaka Moshi; kutoka Kagera mpaka Bukoba; kutoka Katavi mpaka Mpanda e.t.c ni umbali gani?
Hawa ndo wasomi wa tanzania
Ambae hajui geografia ta nchi yake
Umbali wa rukwa mpaka sumbawanga ni sawa na
Ruvuma kwenda songea
humu tunatoana ujinga na sio kila mtu anajua kilakitu kama umefanikiwa kujua jambo fulani usijifanye kibeberu kuwa mpole halafu elimisha wenzio maaafaka