GE2025 Rukwa: Deus Sangu achukua fomu jimbo la Kwela

GE2025 Rukwa: Deus Sangu achukua fomu jimbo la Kwela

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mgombea Ubunge Jimbo la Kwela, Mkoa wa Rukwa Deus Sangu siku ya leo amechukua fomu ya kugombea ubunge ikiwa ni utekelezaji wa kanuni za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa wagombea wote kuanzia nafasi ya Udiwani, Ubunge na Urais.

Sangu ameongozana na wanachama wa CCM Jimbo la Kwela, na kukabidhiwa Fomu na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kwela Bw. Josephat Kayombo.
Screenshot 2025-08-25 141852.png
Screenshot 2025-08-25 141900.png
 
Back
Top Bottom