Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Haya sasa matukio yamezidi ya wanandoa kufanyiana ukatili kila wakati. Tufanyaje kuyapunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya wanandoa mh maana inaogopesha sana?
=========================
Mtu mmoja mkazi wa Kijiji cha Msanzi Kata ya Msanzi wilayani Kalambo mkoani Rukwa, Helena Elias Kipeta mwenye umri wa miaka 28, amefariki dunia baada ya kupigwa na mume wake aliyefahamika kwa jina la Paull John Msokwe mwenye umri wa miaka 29 baada ya kushindwa kulisha mifugo aina ya nguruwe.
Soma Pia: Njombe: Mume amuua mke wake kwa madai ya kuchepuka kwenye ndoa yao