Rukwa: Mume amuua mke wake kisa hajalisha nguruwe

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Haya sasa matukio yamezidi ya wanandoa kufanyiana ukatili kila wakati. Tufanyaje kuyapunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya wanandoa mh maana inaogopesha sana?
=========================

Mtu mmoja mkazi wa Kijiji cha Msanzi Kata ya Msanzi wilayani Kalambo mkoani Rukwa, Helena Elias Kipeta mwenye umri wa miaka 28, amefariki dunia baada ya kupigwa na mume wake aliyefahamika kwa jina la Paull John Msokwe mwenye umri wa miaka 29 baada ya kushindwa kulisha mifugo aina ya nguruwe.

Soma Pia: Njombe: Mume amuua mke wake kwa madai ya kuchepuka kwenye ndoa yao

Your browser is not able to display this video.

 
UKichaa utokanao na msongo wa maisha,kama takwimu ile ya kila watu 100 .wasio tegemezi ni 13.Iwapo takwimu hii ni sahihi.Na swali langu ni nani wa kutwishwa mzigo kwa takwimu hizi mbovu?
 
Hii Dunia hii tumwombe sana Mungu
 
Nguruwe ana thamani kuliko mke kweli?
 
Hajalisha kitoweo.

Kondoo kauwa kwa ajili ya nguruwe.
 
Hajalisha kitoweo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…