Rukwa: Mume amuua mke wake kisa hajalisha nguruwe

Kwa huo umri mnaacha watoto wadogo kabisa hawajui hata kutafuta shilingi moja.
 
Kwa huo umri mnaacha watoto wadogo kabisa hawajui hata kutafuta shilingi moja.
 
Kweli tatizo la afya ya akili ni kubwa miongoni mwetu.

Kulikuwa na ulazima gani wa kumpiga mkewe, wakati alikuwa na nafasi ya kumwonya wakiwa chumbani??
Tatizo la waume kuwapiga wake zao ni tatizo kubwa kuliko tunavyodhani. Kimsingi hili limejulikana kwa sababu tu kifo kimetokea
1. Inawezekana kabisa kipigo wala hakikuwa kikubwa bali alitaka tu kumshikisha adabu kwa ''ka-kipigo''
2. Pia inawezekana ikawa hicho kipigo ni mwendelezo wa ugomvi wa kila siku wa hii familia.
My take: Karne ya sasa siyo ya kupigana tena bali kuelekezana kwa mazungumzo na kama hakuna mabadiliko baso achaneni.
 
Wawili tayari hapa msibani,....mpaka msiba uishe, wote wameisha,...
 
Sahihi kabisa Mkuu, Wanaume tubadirike.

Tujaribu kuuishi ule msemo kwamba "Mwanamke hapigwi Kwa fimbo, Bali Kwa upande wa Khanga"

Mazungumzo ndiyo njia pekee inayoweza kuondoa tofauti zetu.

Unaua, kisha unaenda Kufungwa maisha. Hapo utakuwa umepata nini cha Faida??
 
Kinachoniuma zaidi ni hiyo mboga nani atachinja ale au afungue banda la kuuza
 

Huyo Lofa anajua leo Mr. Manguruwe amekaa kwenye yale mabenchi ya mbao kisa kutapeli watu na nguruwe wake?
 
Nguruwe ni mali hivi jamani shinda hata ngamia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…