RUKWA: RC aagiza walimu kuwakagua wanafunzi ili kubaini iwapo wanavaa hirizi ili kukabiliana na vitendo vya kishirikina

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† huyo RC nazani anachezea moto au ana wa beep wazee wa nyungo ngoja washukenae jumla jumla
 
anaesema Kilimanjaro hawavai hirizi si kweli ,ghafla watu wavuliwe nguo utaona maajabu, kama halionekani limemezwa lipo tumboni. Na Kama sivyo limefichwa chumba maalumu nyumbani. Wewe jua tu maisha ni mchezo.
 
Hii inaingilia haki ya privacy na mila za watu. Wana Rukwa wawezeshwe kuwa walimu mashuleni mwao.
Kwani serikali siku hizi inaamini uchawi na ushirikina mpaka RC anatoa agizo kama hilo? Marc wanatakiwa kuwa wanasoma soma baadhi ya mambo na si kuagiza tu, nikuwaonea bure waalimu.
Tayari yamemshinda
 
Matumizi mabaya ya madalaka.
Hayo maagizo wanatoa tu wanapojisikia kama mfumo wa machief..

Hii ndio africa.
 
Wawe waangalifu wakati wa kukagua wasijeishia kupatwa na madhara makubwa yakiwemo upofu ama kulipukiwa na hizo hirizi. Rukwa si kwa mchezoΒ²
 

Amewanunulia hirizi za kinga hao walimu?, au anadhani ukaguzi huo ni mchezo mchezo!!!
 
Kwani serikali siku hizi inaamini uchawi na ushirikina mpaka RC anatoa agizo kama hilo? Marc wanatakiwa kuwa wanasoma soma baadhi ya mambo na si kuagiza tu, nikuwaonea bure waalimu.
Waisraeli walipokuwa wametoka Misri, waliamriwa kwamba yeyote ambaye angekutwa na vitu kama hivyo, ilikuwa apigwe mawe mpaka kufa!
Sasa kati ya aliyeumba na aliyeumbwa utaegemea upande upi?
 
Kwani serikali siku hizi inaamini uchawi na ushirikina mpaka RC anatoa agizo kama hilo? Marc wanatakiwa kuwa wanasoma soma baadhi ya mambo na si kuagiza tu, nikuwaonea bure waalimu.
Sidhani kama kuna mwalimu atasubutu kutekeleza
 
Kuna Mtu aliwahi kuniambia All - Rounder kuwa kama kuna Mkoa ambao hata Baba wa Taifa aliuogopa na kuna RC alilazwa Darini ni wa Rukwa.
Acheni uongo.
Baba wa Taifa hakuwahi kuogopa sehemu yoyote ile.
Na mkoa wa Rukwa haukuwepo enzi yake.
 
Hii kitu itasababisha madenti kuliwa sana.Maana kuna walimu wakware wakiona tako la denti mboro inaamka.
Au maticha wa kike wakiona dushe udenda unamwagika.!
 
Hirizi ni imani
Biblia ni imani
Quran ni imani

Sijui RC amewaza nini
 
Hivi huyo RC hakuangalia game ya Simba vs Platinum kutoka Zimbabwe? Hakumwona yule na jinsi alivyowatenda Platinum?

Sasa ajiandae kujitetea mbele ya Baraza la mapaka kama yale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…