RUKWA: RC aagiza walimu kuwakagua wanafunzi ili kubaini iwapo wanavaa hirizi ili kukabiliana na vitendo vya kishirikina

Hoja iko rukwa kuhusu hirizi,wewe unawananga wa pwani na ndoa zao za matala sio mitala Kama ulivyoandika.
Kuongoza matokeo kidato Cha nne sio hoja,hoja ni kua na maarifa yakusaidie maishani,unaweza kuwa uliiba mitihani ukaongoza Ila huna maarifa.
Na Maarifa pia ya maisha yapo zaidi mikoa hiyo

Au nasema uongo ndugu yangu
 
Daah hii kazi ngumu,yaani walimu watafute power bank manake nyingine hazishikiki,kutafutiana lawama hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…