MBUNGE wa jimbo la Kalambo mkoani Rukwa, Josephat Sinkamba Kandege (CCM) amenaswa na akigawa hela kwa wajumbe wa CCM wa Halmashauri kuu ya Wilaya wa Kata ya Matai na Lyowa tarehe 05.10.2018
7 Oktoba 2017 aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Inayoongozwa na Jafo akisaidia na George Joseph Kakunda. Hii Wizara ina Manaibu Waziri wawili na Mawaziri wawili Jafo na rais Magufuli.
Hoja, ni nini uadilifu wa wateule wa Rais Magufuli?
Ivi hawa wajumbe wa vyama vya siasa waliopokea Fedha ya Rushwa kutoka kwa watia nia katika chaguzi za vyama vyao wamekuwa matajiri tahari? Je, wameshaondokana na umaskini wao?