Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Leo umechezwa mchezo wa Fainali wa Bonanza la Kumbukizi ya Kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia katika dimba la Nelson Mandela Wilayani Sumbawanga ukizikutanisha timu ya Suluhu Academy kutoka Kizimkazi Zanzibar na Dew Drop kutoka Sumbawanga.
Soma Pia: Wanafunzi wa Rukwa Girls Secondary Schoo washerekea siku ya kuzaliwa Rais Samia! Je hii ni sahihi kulazimisha kuwa sherehe ya taifa?
Mshindi wa mchezo huu atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni Moja (1,000,000) na kikombe, mshindi wa pili Laki Saba (700,000).