Pre GE2025 Rukwa: Wavuvi 800 wamemchangia Rais Samia fedha ya kuchukua fomu ya kugombea Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wavuvi wa Ziwa Tanganyika wamemchangia Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan fedha za kuongezea kwenye uchukuaji wa fomu ya kugombea Urais wakati wa uchukuaji fomu ukifika wakisema wamefanya hivyo kutokana na namna Serikali yake inavyotatua kero za Wavuvi nchini.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wavuvi hao zaidi ya 800 kwa umoja wao wamechanga kiasi cha Tsh. 555,100 ambapo wamemuomba Mbunge wa Viti Maalum Sylvia Sigula aifikishe fedha hiyo kwa Rais Samia ambapo wamechangisha fedha na kumkabidhi Mbunge wakati alipokuwa kwenye ziara ya kusikikiza kero za Wavuvi Kata ya Kasanga Wilaya ya Kalambo.

Dah h nchi ya kipumbavu sana, sasa fomu gn wakati tayari ameshajipitisha kugombea yeye na shosti wake
 
Nchi ina wajinga hii🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Wavuvi wa Ziwa Tanganyika wamemchangia Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan fedha za kuongezea kwenye uchukuaji wa fomu ya kugombea Urais wakati wa uchukuaji fomu ukifika wakisema wamefanya hivyo kutokana na namna Serikali yake inavyotatua kero za Wavuvi nchini.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wavuvi hao zaidi ya 800 kwa umoja wao wamechanga kiasi cha Tsh. 555,100 ambapo wamemuomba Mbunge wa Viti Maalum Sylvia Sigula aifikishe fedha hiyo kwa Rais Samia ambapo wamechangisha fedha na kumkabidhi Mbunge wakati alipokuwa kwenye ziara ya kusikikiza kero za Wavuvi Kata ya Kasanga Wilaya ya Kalambo.

Jamani daaah
 
Haya maigizo mpaka uchaguzi upite yatakuwa yamefikia 1000
 
Iyeeena iyeeena, iyeeena iyeeenaaa, mama Samia mitano tena!
 
Back
Top Bottom