Wavuvi wa Ziwa Tanganyika wamemchangia Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan fedha za kuongezea kwenye uchukuaji wa fomu ya kugombea Urais wakati wa uchukuaji fomu ukifika wakisema wamefanya hivyo kutokana na namna Serikali yake inavyotatua kero za Wavuvi nchini.
Wavuvi hao zaidi ya 800 kwa umoja wao wamechanga kiasi cha Tsh. 555,100 ambapo wamemuomba Mbunge wa Viti Maalum Sylvia Sigula aifikishe fedha hiyo kwa Rais Samia ambapo wamechangisha fedha na kumkabidhi Mbunge wakati alipokuwa kwenye ziara ya kusikikiza kero za Wavuvi Kata ya Kasanga Wilaya ya Kalambo.