Rule No 5: Usiombe ushauri kwa aliyeshindwa

Leo umeandika utumbo wa mende. Mimi aliyeshindwa ushauri wake ndo ulinifanya natanua kwapa mjini hapa.
 
Hii point imetulia sana.
 
Ni kweli, mfano mdogo nimeomba ushauri kwa jamaa kadhaa nataka kufanya biashara fulani eneo ambalo wapo wauzaji wengi wa bidhaa hiyo cha ajabu wananikatisha tamaa eti hapo kila mtu anawateja wake tayari mimi nitawatoa wapi
 
Kwa hiyo hata uzoefu wake uliopelekea kwenye kushindwa usiusikilize, ili nawe uishie huko huko. Penye kushindwa, kuna kujifunza pia.
 
Kwa hiyo hata uzoefu wake uliopelekea kwenye kushindwa usiusikilize, ili nawe uishie huko huko. Penye kushindwa, kuna kujifunza pia.

Uliona wapi mtu mwenye akili akajifunza Kwa aliyeshindwa??

Uzoefu unaupata Kwa aliyefanikiwa/aliyeshinda.

Ndio maana hata nchi yetu haiwezi kwenda kujifunza Kwa nchi masikini namna ya kuwa tajiri, isipokuwa zinaenda kujifunza Kwa nchi tajiri namna ya kuwa tajiri.

Huwezi omba ushauri mwema Kwa mtu aliyeshindwa kuwa mwema.
Huwezi omba ushauri wa Utajiri Kwa masikini.
Huwezi omba ushauri wa wema Kwa Shetani.

Labda ubishi tuu lakini mada inaeleweka
 
Ni kweli, mfano mdogo nimeomba ushauri kwa jamaa kadhaa nataka kufanya biashara fulani eneo ambalo wapo wauzaji wengi wa bidhaa hiyo cha ajabu wananikatisha tamaa eti hapo kila mtu anawateja wake tayari mimi nitawatoa wapi

Ipo hivyo Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…