Ruler za Pica naweza kuzipata wapi kwa Dar es Salaam?

Ruler za Pica naweza kuzipata wapi kwa Dar es Salaam?

renamaizo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
2,134
Reaction score
3,064
Habari wadau,

Natafuta ruler za pica nimezunguka nimechoka sasa naomba msaada hz ruler unaweza kuagiza kutoka nje shida gharama sn adi ije ikufikie ni kama laki hivi nataka niitumie kwenye design.

1692107336802.jpeg
 
shida ni usafir kuileta huku bongo yaani siamin bongo nzima hamna hizo ruler nimeenda builders center tabata matumbi sijaipata
mbona usafiri inaonekana hapo ni buku mkuu, jumla usafiri na bidhaa ni 3500/= mpaka inakufikia mkononi, sema hapo kuna wiki 3 za kusubiri.
 
Back
Top Bottom