Runda, Kenya: Kiongozi wa kundi la NRM, Miguna Miguna avamiwa na Polisi nyumbani kwake na kukamatwa

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Mwanasiasa na Mwanasheria aliyejitangaza kuwa kiongozi wa Kundi lilopigwa marufuku la National Resistance Movement (NRM), Miguna Miguna amekamatwa asubuhi ya leo baada ya polisi kuvamia nyumbani kwake

Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai, George Kinoti amethibitisha kukamatwa huko na kusema amekamatwa kwa kuongoza kiapo ambacho ni kinyume na sheria na kuwa kiongozi wa kundi lillilokatazwa la NRM

skynews-raila-odinga-raila-odinga-kenya_4218127.jpg

============================================================Self-declared National Resistance Movement (NRM) General Miguna Miguna was arrested on Friday morning, shortly after he raised the alarm on a police raid at his home.

DCI George Kinoti confirmed that he was arrested for administering an illegal oath and being a member of NRM, a proscribed organisation.

“He (Mr Miguna) publicly declared that he is the general of NRM, which is already declared a proscribed group. By the time he declared publicly, there was a gazette notice by the minister. How can we let it go? We are law enforcers,” said Mr Kinoti.

“He also said he is going to lead people to burn portraits of a democratically elected president. Then what do you expect from us?

"He also confessed he is the one who administered the oath,” the DCI boss added.
 
First was reported that Police raid Miguna Miguna's home in Runda

It has now been confirmed that heavily armed police officers today stormed their way into NRM's Miguna home causing severe damage & taking him away

Miguna Miguna arrested for administering an illegal oath and being a member of the outlawed NRM, DCI boss confirms

Source: NTV
 
Tanzania sasa tunatetea madikteta tutachukiwa sana na dunia kama huyu sisonje hatutamzuia kutupeleka vitani

Swissme
 
Wewe unajua kosa la uhaini linamaanisha nini? Mara ya mwisho mambo kama hayo kutokea Tz ilikuwa ni mwaka gani? Kama ni kule U.S.A sasa hivi Raila angekuwa anakula maharage ya bure kule Guantanamo Bay! Kenya yetu tuachie sisi wakenya, wala hatutafuti sifa kutoka kwa yeyote ule! Naamini uhuru wa mahakama upo, mwisho wa siku, uamuzi ni kwa timu ya Jaji mkuu David Maraga.
 
Wewe unajua kosa la uhaini linamaanisha nini? Mara ya mwisho mambo kama hayo kutendeka Tz ilikuwa ni mwaka gani? Kama ni kule U.S.A sasa hivi Raila angekuwa anakula maharage ya bure kula Guantanamo Bay! Kenya yetu tuachie sisi wakenya, wala hatutafuti sifa kutoka kwa yeyote ule! Naamini uhuru wa mahakama upo, mwisho wa siku, uamuzi ni kwa Justice Maraga na wenzake.
Kwanini wavamie na kuvunja nyumba yake wakati wangeweza kumkamata akiwa kazini kwake, huyu ni wakili wa mahakama kuu, huwa anakuwapo mahakamani karibu kila siku, walifanya hivi hivi kwa Jimmy Wanjiku, je yeye alikuwa pia na kosa na uhaini?, kwanini serikali haimkamati Raila ambaye ndiye muhaini namba moja, au inamuogopa?, wiki government kama hiyo bado unaitetea.
 
Kama tuwaachie wakenya mbona rais wako anamsaport muhain na kumkaribisha chato

Swissme
 
Kwanini wavamie na kuvunja nyumba yake wakati wangeweza kumkamata akiwa kazini kwake, huyu ni wakili wa mahakama kuu, huwa anakuwapo mahakamani karibu kila siku, walifanya hivi hivi kwa Jimmy Wanjiku, je yeye alikuwa pia na kosa na uhaini?, kwanini serikali haimkamati Raila ambaye ndiye muhaini namba moja, au inamuogopa?, wiki government kama hiyo bado unaitetea.
Umesahau Miguna Miguna ni kiongozi wa kundi haramu la NRM? Mbona wenzao Alshabaab, Mungiki, Chinkororo na Makande Army huwa wanavamiwa kwa fujo zaidi ya hiyo, lakini hujawasikia hata siku moja wakilia kwamba ni hujuma?
 
Kwanini wavamie na kuvunja nyumba yake wakati wangeweza kumkamata akiwa kazini kwake, huyu ni wakili wa mahakama kuu, huwa anakuwapo mahakamani karibu kila siku, walifanya hivi hivi kwa Jimmy Wanjiku, je yeye alikuwa pia na kosa na uhaini?, kwanini serikali haimkamati Raila ambaye ndiye muhaini namba moja, au inamuogopa?, wiki government kama hiyo bado unaitetea.
jimmy wanjiku ndio nani
 
Kweli Kenya ni ya aibu sana. WanaNasa wanaapisha mtu aliyeshindwa uchaguzi mara mbili ili waanze vituko. Nayo serikali ya Uhuru imesema hawana wasiwasi kihisu kiapo hicho lakini wanfunga vituo vya runinga na wanaanza kamata kamata bila kuangalia matokeyo hatayofanyika. Sasa slum dwellers wa Kibera utawaona wameanza vituko vituko. Kisha mtoto auliwe bure na Wazungu waanze kuongea.
 
mambo yanaanzaga taratiiiiibu.....!!
 
Hatimae huyu Mcanada amekamatwa kumbe...hana jipya kamponda sana Raila kwenye vitabu vyake na sasa ndio jenerali wa NRM....kweli kila mtu ana bei..
Matiang'i ata deal nao kisawa sawa....
 
Peeling back the mask na Kidneys for the King, vitabu vyake viwili ambavyo humo ndani amemponda Raila kweli kweli. Alafu ile siku ya kuapishwa kwa Raila eti yeye Miguna Miguna ndo alikuwa registrar, na First Lady pia, vyote kwa pamoja. 😀😀😀
 
Mkuu dunia haiishi maajabu kwa kweli...Miguna huyu ana uraia wa Canada sasa leo kaojeshwe kidogo joto la jiwe..
Eti yeye ndie Le General na huyu 26/8/17 alimpigia kura Uhuru...ni kigeugeu
 
Mkuu, acha apate 'content' ya kuandika kitabu kipya. Cha kushangaza sasa hivi yeye ndo anayemponda Kalonzo Musyoka zaidi ya wote, kwa kukosa kufika pale Uhuru Park kuapishwa. Wakati Kalonzo ndo amekuwa loyal kwa Raila zaidi yake. Hakuna yeyote kwenye NASA aliyeona hilo, NASA ni muungano wa vichaa tu.
 
Miguna miguna nasikia alikuwaga exile..?
 
Kwanini wavamie na kuvunja nyumba yake wakati wangeweza kumkamata akiwa kazini kwake, huyu ni wakili wa mahakama kuu, huwa anakuwapo mahakamani karibu kila siku, walifanya hivi hivi kwa Jimmy Wanjiku, je yeye alikuwa pia na kosa na uhaini?, kwanini serikali haimkamati Raila ambaye ndiye muhaini namba moja, au inamuogopa?, wiki government kama hiyo bado unaitetea.
Polisi wapo very clear kwenye statement yao, kwamba alikiri na kujitangaza kuwa ni kiongozi wa NRM baada ya serikali kulitangaza rasmi kundi hilo kuwa ni kundi la kigaidi.
Umewahi kumsikia raila akiongea lolote kuhusiana na NRM tangu walipomaliza lile igizo lao pale Uhuru Park?
 
Back
Top Bottom