Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Kalonzo hayupo ngangari kupambana na hawa jamaa wa ODM....tena hata uchaguzi huu yeye ndie alietakiwa kugombea uraisi na sio Raila kama walivyokumbaliana 2013....lakini baada ya kuundwa Nasa Kalonzo akampisha tena Raila agombee....Mkuu, acha apate 'content' ya kuandika kitabu kipya. Cha kushangaza sasa hivi yeye ndo anayemponda Kalonzo Musyoka zaidi ya wote, kwa kukosa kufika pale Uhuru Park kuapishwa. Wakati Kalonzo ndo amekuwa loyal kwa Raila zaidi yake. Hakuna yeyote kwenye NASA aliyeona hilo, NASA ni muungano wa vichaa tu.
Sasa na kujinyima kote huko bado wanamuona msaliti kisa tu hakufika kwenye kiapo cha kihuni..
Ma principal wote kasoro Raila wamelalamika kutengwa hata content ya kiapo na "jaji" wa kuapisha ilikua siri...sasa Kalonzo katika mazingira kama hayo angefanya nini..