Runda, Kenya: Kiongozi wa kundi la NRM, Miguna Miguna avamiwa na Polisi nyumbani kwake na kukamatwa

Kalonzo hayupo ngangari kupambana na hawa jamaa wa ODM....tena hata uchaguzi huu yeye ndie alietakiwa kugombea uraisi na sio Raila kama walivyokumbaliana 2013....lakini baada ya kuundwa Nasa Kalonzo akampisha tena Raila agombee....
Sasa na kujinyima kote huko bado wanamuona msaliti kisa tu hakufika kwenye kiapo cha kihuni..
Ma principal wote kasoro Raila wamelalamika kutengwa hata content ya kiapo na "jaji" wa kuapisha ilikua siri...sasa Kalonzo katika mazingira kama hayo angefanya nini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…