Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu (FIFA) imeifungia klabu ya Biashara United ya Mara kusajili wachezaji kwa madirisha mawili.
Adhabu hiyo imetolewa baada ya Biashara United kushindwa kuheshimu uamuzi wa awali wa FIFA kuifungia kusajili wachezaji hadi itakapokamilisha malipo ya madai ya mshahara ya aliyekuwa mchezaji Timoth Balton Omwenga.