mkuu atoe ufafanuzi rungu lipi mi bado sijaelewa!
Kwa kua sisi ni watu wenye heshima acha tuamini ni rungu lile analotumiaga kwenye maigizo.mkuu atoe ufafanuzi rungu lipi mi bado sijaelewa!
Senga ana hela?Kwa nn wasimpe Senga?
Kadanja saa 12 jioni leoPembe amedanja lini nyie?
Weee vishu...Kwa kua sisi ni watu wenye heshima acha tuamini ni rungu lile analotumiaga kwenye maigizo.
Ila Poor Brain mpenda mishangazi lazima nae atatamani akampe rungu lake mheshimiwa.